Mchimwachimego
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 358
- 271
Haitakaa itokee hiyo hakuna wa kumpitisha tobolisu iwe jua Iwe mvua nakuambia haitatokea labda tu chadema wachukue majimbo 70%ya ubunge lakini kama sabini hayo yaende ccm alafu kura za rais mushinde haitakaa itokee,Awamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,
Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kula zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka...
awezi kupita katambi alafu kura za urais apate tobolisu haiwezekani kwenye ilo musahau narudia tena labda mupate majimbo mengi kuzidi ccm.