Matokeo ya usaili MDA's na LGA's yametoka

Just Distinctions

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2016
Posts
3,230
Reaction score
6,742
Kwa wale mliofanya usaili wa MDA na LGA Januari mwaka huu, matokeo yametoka, ili kuona ya kwako ingia katika akaunti ya ajira portal na angalia kwenye application zako utaona kama upo selected or not selected.

Baada ya hapo subiria tu pdf ya lini Oral lini itafanyika na wapi, mliofanikiwa hongereni, mliodunda endeleeni kukaza buti.

Utafutaji uendelee
 
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi, nilitoka kufanya oral ya TRA sikuwa na mzuka tena wa kufanya interview nyingine hata maandalizi ya kujisomea sikufanya ila nilichokuwa namuomba Mungu aniongoze nikatumie knowledge yangu. Nashukuru Mungu upande wa account officer ilikuja hivyo (nilishawahi kuwa mwalimu so lile pepa nilijibu nikiwa nakumbuka nilivyokuwa nafundisha madogo) auditing niliona pepa limenibaka ila pia niliamua kutumia knowledge yangu sikuacha hata swali moja. Mungu mwema majibu yametoka naenda Dodoma tena zote mbili. Ahsante Mungu na kwa wale ambao hamjabahatika aminini Mungu ni mwema wakati wenu waja
 
Hongera sana kaka kwa kupata zote mbili .Laba nikuulize kwanini ulipotoka kufanya oral ya TRA hukuwa na mzuka wa kufanya interview nyingine?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Simply kwa sababu nilikuwa nimechoka sana. Nilitumia nguvu kubwa sana kujiandaa so nilivyomaliza sikuwa na ule mzuka tena nilijihisi kama nahitaji kupumzika
 
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi, nilitoka kufanya oral ya TRA sikuwa na mzuka tena wa kufanya interview nyingine hata maandalizi ya kujisomea sikufanya ila nilichokuwa namuomba Mungu aniongoze nikatumie knowledge yangu. Nashukuru Mungu upande wa account officer ilikuja hivyo (nilishawahi kuwa mwalimu so lile pepa nilijibu nikiwa nakumbuka nilivyokuwa nafundisha madogo) auditing niliona pepa limenibaka ila pia niliamua kutumia knowledge yangu sikuacha hata swali moja. Mungu mwema majibu yametoka naenda Dodoma tena zote mbili. Ahsante Mungu na kwa wale ambao hamjabahatika aminini Mungu ni mwema wakati wenu waja
Unaweza kuacha swali na ukatoboa vizuri tu.. maswali ma4 kati ya 5 ukijibu vizuri unayoa.. wao wanasahisha na kuweka marks, hawasahihishi kwa kulazimisha ujibu yote ndio ufaulu.

Ushahidi ninao
 
Wakubwa Hivii Oral ya AFISA MIFUGO - MDA & LGA ni tarehe ngapii?

Mm naona selected for oral niki view timetable sioni oral timetable, nisaidienii??
 
Back
Top Bottom