Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
😭😭😭😭mliodunda endeleeni kukaza buti.
Hongera sana kaka kwa kupata zote mbili .Laba nikuulize kwanini ulipotoka kufanya oral ya TRA hukuwa na mzuka wa kufanya interview nyingine?Wakati wa Mungu ni wakati sahihi, nilitoka kufanya oral ya TRA sikuwa na mzuka tena wa kufanya interview nyingine hata maandalizi ya kujisomea sikufanya ila nilichokuwa namuomba Mungu aniongoze nikatumie knowledge yangu. Nashukuru Mungu upande wa account officer ilikuja hivyo (nilishawahi kuwa mwalimu so lile pepa nilijibu nikiwa nakumbuka nilivyokuwa nafundisha madogo) auditing niliona pepa limenibaka ila pia niliamua kutumia knowledge yangu sikuacha hata swali moja. Mungu mwema majibu yametoka naenda Dodoma tena zote mbili. Ahsante Mungu na kwa wale ambao hamjabahatika aminini Mungu ni mwema wakati wenu waja
Simply kwa sababu nilikuwa nimechoka sana. Nilitumia nguvu kubwa sana kujiandaa so nilivyomaliza sikuwa na ule mzuka tena nilijihisi kama nahitaji kupumzikaHongera sana kaka kwa kupata zote mbili .Laba nikuulize kwanini ulipotoka kufanya oral ya TRA hukuwa na mzuka wa kufanya interview nyingine?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] sasa uliishia KUWAONYESHA kwenye interview ngapi mkuu?Vijana wa siku hizi wakisikia interview matumbo yanawaka moto. Enzi zangu nilikuwa nalilia interview NIKAWAONYESHE
sijui asee duuuNimedunda nimeumia, Sekretarieti ya Ajira huwa mnataka mtu ajibu nn
Nimewahi kuanya interview 2; ya kwanza ndio ajira yangu ya kwanza na ya pili wakati nimeomba scholarship ambayo nilienda kusoma Japan. Asante.[emoji16][emoji16][emoji16] sasa uliishia KUWAONYESHA kwenye interview ngapi mkuu?
Tarehe 19/02/2023Afisa hesabu intervw ya oral itakua lini [emoji120]
Pamoja MkuuNimewahi kuanya interview 2; ya kwanza ndio ajira yangu ya kwanza na ya pili wakati nimeomba scholarship ambayo nilienda kusoma Japan. Asante.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Unaweza kuacha swali na ukatoboa vizuri tu.. maswali ma4 kati ya 5 ukijibu vizuri unayoa.. wao wanasahisha na kuweka marks, hawasahihishi kwa kulazimisha ujibu yote ndio ufaulu.Wakati wa Mungu ni wakati sahihi, nilitoka kufanya oral ya TRA sikuwa na mzuka tena wa kufanya interview nyingine hata maandalizi ya kujisomea sikufanya ila nilichokuwa namuomba Mungu aniongoze nikatumie knowledge yangu. Nashukuru Mungu upande wa account officer ilikuja hivyo (nilishawahi kuwa mwalimu so lile pepa nilijibu nikiwa nakumbuka nilivyokuwa nafundisha madogo) auditing niliona pepa limenibaka ila pia niliamua kutumia knowledge yangu sikuacha hata swali moja. Mungu mwema majibu yametoka naenda Dodoma tena zote mbili. Ahsante Mungu na kwa wale ambao hamjabahatika aminini Mungu ni mwema wakati wenu waja
Ratiba bado haijapangwa endelea kusubiriWakubwa Hivii Oral ya AFISA MIFUGO - MDA & LGA ni tarehe ngapii?
Mm naona selected for oral niki view timetable sioni oral timetable, nisaidienii??