Matokeo ya usaili MDA's na LGA's yametoka

Unaweza kuacha swali na ukatoboa vizuri tu.. maswali ma4 kati ya 5 ukijibu vizuri unayoa.. wao wanasahisha na kuweka marks, hawasahihishi kwa kulazimisha ujibu yote ndio ufaulu.

Ushahidi ninao
Mimi nilijibugi 4 tu moja likanibaka..
Na kati ya hayo 4 nilikua na uhakika na mawili.. tu.. hyo mawili nilibet..

Lakini.. nakawa selected kwenye oral.. nilipata 57..
Maana yake nilipata maswali mawili na poit kadhaa kwenye yale maswali mawili
 
Yaaah uko sawa,, kufaulu si lazima ujibu yote, unaweza kujibu yote Ila ukajibu pumba..
Hii Iko kotekote kwenye Written na Oral pia.. ukiweza kuyapatia maswali yako manne kati ya 5 effective amani ya moyo inakuwepo kabisa
 
Hongera sana, ikawe heri huko uendako.
 
Unaweza kuacha swali na ukatoboa vizuri tu.. maswali ma4 kati ya 5 ukijibu vizuri unayoa.. wao wanasahisha na kuweka marks, hawasahihishi kwa kulazimisha ujibu yote ndio ufaulu.

Ushahidi ninao
Unachosema ni kweli ila kwa nature ya mtihani wa MGA na LGA ulivyokuwa, kujibu maswali yote na kwa usahihi kulikuwa kuna matter sana. Mtihani ulikuwa simple sana hivyo speed na kumaliza paper kulikuwa na maana pia
 
Kuna walioitwa zile za NHC za Temporary? Niendelee kusubiri???
 
Wakubwa Hivii Oral ya AFISA MIFUGO - MDA & LGA ni tarehe ngapii?

Mm naona selected for oral niki view timetable sioni oral timetable, nisaidienii??
Ratiba cheki kwenye website ya utumishi mzee zimewekwa zote
 
Msaada wakuu kwenye oral interview kuhusu majina ya vyeti

Vyeti vya shule majina yanasoma ; jakaya mrisho
Cheti cha kuzaliwa na nida ID majina yanasoma ; jakaya mrisho Kikwete.
 
Msaada wakuu kwenye oral interview kuhusu majina ya vyeti

Vyeti vya shule majina yanasoma ; jakaya mrisho
Cheti cha kuzaliwa na nida ID majina yanasoma ; jakaya mrisho Kikwete.
wakati unafanya written walikuambaije kuhusu vyeti vyako, kama una wasiwadi uliza kupita namba zao kwenye tovuti watakusaidia isilete usumbufu nimeona mara kadhaa raia wanarudishwa kwente usaili kwa sababu kama hizo za majina kutofautiana hivyo ni vyema ujiridhishe ili usiishie kwenda Dom kutalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…