Matokeo ya usaili MDA's na LGA's yametoka

H
Msaada wakuu kwenye oral interview kuhusu majina ya vyeti

Vyeti vya shule majina yanasoma ; jakaya mrisho
Cheti cha kuzaliwa na nida ID majina yanasoma ; jakaya mrisho Kikwete.
Hapo tafta deed poll mapema
 
Msaada wakuu kwenye oral interview kuhusu majina ya vyeti

Vyeti vya shule majina yanasoma ; jakaya mrisho
Cheti cha kuzaliwa na nida ID majina yanasoma ; jakaya mrisho Kikwete.
Nenda mahakamani watakupa deed pol au affidavit.

Deed pol maana yake unataka ukabadilishe vyeti vyenye majina 2 viwe na majina 3, wakati unasubir kubadili maana yake unaomba ukubarike kwa hayo makosa.

Affidavit nafikiri ni nzuri zaidi ambayo na mm naitumia hiyo unaapa kwamba majina yote yaliyojitokeza kwa utofauti wake ni majina yako na yatambulike hivyo.
 
Hello! mwenye lile Tangazo la kazi hizi za MDAs & LGAs naomba aliweke hapa, ili tupitie duties mbalimbali kujiweka fit kwa ajiri ya ORAL.

Natanguliza shukrani
 
Mkuu naomba uchek pm yako
 
Kuna category ya VERIFICATION CERTIFICATE kwenye ajira portal hivi pale ni vyeti vya namna gani vinakuwa attached..??
 
Kuna category ya VERIFICATION CERTIFICATE kwenye ajira portal hivi pale ni vyeti vya namna gani vinakuwa attached..??
Hivi ni kwa wale waliosoma nje wanatakiwa kuverify vyeti.
 
Unachosema ni kweli ila kwa nature ya mtihani wa MGA na LGA ulivyokuwa, kujibu maswali yote na kwa usahihi kulikuwa kuna matter sana. Mtihani ulikuwa simple sana hivyo speed na kumaliza paper kulikuwa na maana pia
Naomba kuulza hivi hizi interview za MDAs and LGAs wanaofanya upande wa afya mfano Manesi Huwa wanapangiwa kufanya kazi sehem zipi haswa?
 
Mzigo tayari huku... Njooni tuyajenge.
 
Vijana wa siku hizi wakisikia interview matumbo yanawaka moto. Enzi zangu nilikuwa nalilia interview NIKAWAONYESHE
Tatizo enze zenu hata mainterviewer walikuwa vilaza ndo maana Hata wewe kilaza mzee uliku unawaonyesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…