ibrakadabra94
New Member
- Dec 4, 2023
- 2
- 1
Tumbo joto
Ishafika...kauli mbiu Muungano na tiaraeyi
Subiri taarifa kwa umma tuJamani matokeo bado? Watu tumbo joto huku
Lazima Kuna kitu kinaendelea sio bure nafikiri Kama unga umezidi majiJamani matokeo bado? Watu tumbo joto huku
Mmh kwa kweli.Lazima Kuna kitu kinaendelea sio bure nafikiri Kama unga umezidi maji
Kunywa maji moyo uelee mkuuJamani matokeo bado? Watu tumbo joto huku