Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Nini maana ya kuweka Cv na vyeti vyako? Na kama hufai kwa nini wakushortlist?Kuna jamaa alinidokeza ajira za serikali wanapeleleza mambo mengi kweli mpaka nilichoka.
Wanapeleleza mpaka ukoo wako,sehemu uliyozaliwa, shule ulizosoma na mengine mengi ikiwemo tabia zako mitandao ya kijamii uliyojiunga .....
Hiyo Tume ya mahakama katika suala la ajira linaendeshwa kwa rushwa vibaya sana. Kama unasubiria matokeo ya kuitwa kazini basi omba Mungu sanaNilibahatika kufanya usaili wa Mahakama kama Record Management Assistant, lakini sasa ni mwezi na wiki nzima matokeo bado.
Kumbuka unachoma nauli toka mkoani,unasubiri matokeo lakini unasubiri matokeo hujui lini yatatoka. Inaumiza sana,ajira ni tatizo sugu.
Kwa hiyo unataka kusema wote walioajiriwa serikalini ni watu wasafi?shule hawakuwa na vurugu?sio walevi?wote familia/koo zao hazina matatizo?Kuna jamaa alinidokeza ajira za serikali wanapeleleza mambo mengi kweli mpaka nilichoka.
Wanapeleleza mpaka ukoo wako,sehemu uliyozaliwa, shule ulizosoma na mengine mengi ikiwemo tabia zako mitandao ya kijamii uliyojiunga .....
Kweli mkuu? Au mambo ya kujuana mpaka uwe mtoto wa jaji au hakimu?Hiyo Tume ya mahakama katika suala la ajira linaendeshwa kwa rushwa vibaya sana. Kama unasubiria matokeo ya kuitwa kazini basi omba Mungu sana
Who are you?Kuwa mpole ajira zitafuata baada ya uchaguzi
Son of gun.HR wa Tume ya Mahakama
Endelea na majibu yako ya nyodo utazeekea homeSon of gun.
Ahaaaa,we unajua mimi nina ishu gani?Endelea na majibu yako ya nyodo utazeekea home
Job seekerAhaaaa,we unajua mimi nina ishu gani?
Bitch/son of gunJob seeker
Nini maana ya kuweka Cv na vyeti vyako? Na kama hufai kwa nini wakushortlist?
Hii kali tena...CV inasaidia tu upelelezi maana kutoka kwenye cv watajua mengi kama, Umri wako,interests zako. Halafu kumbuka kupitia hizi ajira na interview watu wa vitengo ndiyo husailiwa bila wao kujijua.
sio kweli. waliosomsma nje je inakuaje hapoCV inasaidia tu upelelezi maana kutoka kwenye cv watajua mengi kama, Umri wako,interests zako. Halafu kumbuka kupitia hizi ajira na interview watu wa vitengo ndiyo husailiwa bila wao kujijua.
huo muda wa kukupeleleza ww wanaupata wapi maana watu ni wengi sana wanatafuta ajira na sijui watapeleleza wangapiKuna jamaa alinidokeza ajira za serikali wanapeleleza mambo mengi kweli mpaka nilichoka.
Wanapeleleza mpaka ukoo wako,sehemu uliyozaliwa, shule ulizosoma na mengine mengi ikiwemo tabia zako mitandao ya kijamii uliyojiunga .....
Wewe kama nani? Unajibu hivi?Vuteni Subira Muda Siyo Mrefu Mambo Yatakuwa Safi