Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
kuongea kwa sauti kubwa au kwa uchungu sio tija!
..hii nchi imekuwa neglected and abused kwa muda mrefu sana na matokeo yake ndiyo hayo mnayoyaona sasa hivi. kwa mfano: elimu imetelekezwa kwa muda mrefu kiasi kwamba leo hii ukijenga madarasa na usiyapatie waalimu na vifaa wananchi wanaridhika na kuwapeleka watoto wao huko.
..ole wao CCM wananchi wakijua maana halisi ya maendeleo na jinsi ya kudadisi na kupima utendaji wa viongozi na serikali.
Pamoja na uelewa wangu katika michakato ya kuandaa tafiti (sampling procedures). Hiyo yenye nyekundu hapo juu inanifanya niupasishe huu utafiti kwa 90% lakini chini ya sifuri.
hilo nimelipenda; ndio maana watu wengine wanasema Chadema au viongozi wake wamefanya mengi kwa sababu wanaongea kwa sauti kubwa na uchungu! the same can be said with some members ndani ya CCM..
Napata kigugumizi kuamini utafiti huu kama si hoax ama la ina maana hayo maeneo mbalimbali ya nchi wanamjua huyo mbunge Jerry Muro/Silaa kwa kiasi gani hivi watu wa Kasulu Kigoma watu wa Mtwara watu wa Loliondo Magu Pemba Itigi Singida Mbeya wameulizwa angalau kumtambua huyo Diwani wa Ukonga achilia mbali kujua kazi gani huwa anafanya labda watuambie hizo sehemu mbalimbali walikuwa na maana ya maeneo yote ya Ukonga ndiyo maana kuna watoahoja humu wamesema utafiti umefanyika leo wakati wa chai ya saa nne pale LumumbaLeo synovate wamekutana na wanahabari na kutangaza matokeo ya utafiti wao kuhusu hali ya taifa. Wametaja kuwa Kikwete anaongoza kwa kuwa na asilimia 70 akifutiwa na Freeman Mbowe mwenye asilimia 10, akiwa ametangulia kidogo Lipumba. Hii ni katika nafasi ya urais.
Katika bunge utafiti wao unaonyesha kwamba Zitto Kabwe ndiye mbunge bora kuliko wote akifuatiwa na Anna Kilango. Katika matokeo hayo Mbunge mwingine bora anayetajwa ni Jerry Silaa ambaye ni diwani wa ukonga. Utafiti huo unasema kwamba wananchi wapatao elfu mbili waliohojiwa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wamemtaja diwani huyo kuwa anachapa kazi kwa kiwango kikubwa na wakiamini kwamba ni mbunge. Katika utafiti huo Dr Slaa anatajwa kuwa nyuma.
Kwa upande wa vyama matokeo yanaonyesha kwamba CCM iko karibu zaidi na wananchi kwa asilimia 70 ikifuatiwa na CHADEMA yenye asilimia 14.
......ndiyohiyo
Napata kigugumizi kuamini utafiti huu kama si hoax ama la ina maana hayo maeneo mbalimbali ya nchi wanamjua huyo mbunge Jerry Muro/Silaa kwa kiasi gani hivi watu wa Kasulu Kigoma watu wa Mtwara watu wa Loliondo Magu Pemba Itigi Singida Mbeya wameulizwa angalau kumtambua huyo Diwani wa Ukonga achilia mbali kujua kazi gani huwa anafanya labda watuambie hizo sehemu mbalimbali walikuwa na maana ya maeneo yote ya Ukonga ndiyo maana kuna watoahoja humu wamesema utafiti umefanyika leo wakati wa chai ya saa nne pale Lumumba
Kama wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wameweza kumfahamu diwani wa Ukonga basi watanzania wana uelewa mkubwa na habari zinafika kiurahisi vijiji vyote. Kama kuna wananchi hawajui Pinda ni nani iweje diwani Jerry Silaa afahamike nchi nzima? Haiingii akilini hata kidogo!Katika matokeo hayo Mbunge mwingine bora anayetajwa ni Jerry Silaa ambaye ni diwani wa ukonga. Utafiti huo unasema kwamba wananchi wapatao elfu mbili waliohojiwa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wamemtaja diwani huyo kuwa anachapa kazi kwa kiwango kikubwa na wakiamini kwamba ni mbunge.
Leo synovate wamekutana na wanahabari na kutangaza matokeo ya utafiti wao kuhusu hali ya taifa. Wametaja kuwa Kikwete anaongoza kwa kuwa na asilimia 70 akifutiwa na Freeman Mbowe mwenye asilimia 10, akiwa ametangulia kidogo Lipumba. Hii ni katika nafasi ya urais.
Katika bunge utafiti wao unaonyesha kwamba Zitto Kabwe ndiye mbunge bora kuliko wote akifuatiwa na Anna Kilango. Katika matokeo hayo Mbunge mwingine bora anayetajwa ni Jerry Silaa ambaye ni diwani wa ukonga. Utafiti huo unasema kwamba wananchi wapatao elfu mbili waliohojiwa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wamemtaja diwani huyo kuwa anachapa kazi kwa kiwango kikubwa na wakiamini kwamba ni mbunge. Katika utafiti huo Dr Slaa anatajwa kuwa nyuma.
Kwa upande wa vyama matokeo yanaonyesha kwamba CCM iko karibu zaidi na wananchi kwa asilimia 70 ikifuatiwa na CHADEMA yenye asilimia 14.
......ndiyohiyo
(Habari Leo)
RAIS Jakaya Kikwete amepewa nafasi kubwa ya kushinda Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu kwa kuwa wananchi wanampa nafasi kubwa ya kuwashinda wapinzani wake watakaojitokeza kuwania kwenda Ikulu.
Utafiti uliofanywa na kampuni ya Synovate umebainisha kuwa, utendaji wa Kikwete unawaridhisha wananchi kwa asilimia 75.
Wananchi pia wamesema, chama cha siasa ambacho kipo karibu zaidi na wananchi ni Chama Cha Mapinduzi(CCM).
Kwa mujibu wa wananchi hao, CCM ipo karibu na wananchi kwa asilimia 70, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa asilimia 17, Chama Cha Wananchi(CUF) kwa asilimia 9, NCCR Mageuzi kwa asilimia 2,Tanzania Labour(TLP) na UDP asilimia 1.
Kwa mujibu wa taarifa ya utafiti ya kura ya maoni ya robo ya mwisho Oktoba- Desemba mwaka jana iliyofanywa na kampuni hiyo, lengo lilikuwa ni kupata kura ya maoni ya watanzania katika mambo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi katika vipindi tofauti ndani ya mwaka.
Meneja wa Utafiti wa Vyombo vya Habari na Umma wa kampuni hiyo, Abdallah Gunda, amewaeleza waandishi wa habari kuwa, kampuni hiyo ambayo zamani ilijulikana kwa jina la Steadman Group ilikusanya maoni kwa kuwahoji watu 2000.
Amesema, watu hao waligawanywa sawasawa na uwiano wa idadi ya wananchi wa Tanzania na ilikusanya mahojiano ya uso kwa uso katika maeneo tofauti yaliyochaguliwa.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo,watu hao walipoulizwa ni Rais yupi wangependa awe kwa mwaka 2010, walimchagua Kikwete kwa asilimia 75.
Kikwete alifuatiwa na Freeman Mbowe kwa asilimia 10, Profesa Ibrahim Lipumba alipata kura kwa asilimia 9, John Cheyo, Salim Ahmed Salim na Zitto Kabwe ambao walipata asilimia 1.
Mbunge aliyefanya vema kwa kipindi hicho cha mwisho wa mwaka 2009 ni Zitto Kabwe kwa asilimia 31, Anne Kilango Malecela asilimia 13, Dr. Wilbroad Slaa asilimia 7, Dr. Harrison Mwakyembe asilimia 6, John Magufuli asilimia 3, Lawrence Masha asilimia 2.
Wabunge wengine ni Mizengo Pinda, Mohamed Dewji, Lucas Selelii, Samuel Sitta, John Cheyo, John Nchimbi, Halima Mdee, Jenista Mhagama, Philemon Ndesamburo, Hamad Rashid Mohamed, David Mathayo, Mark Mwandosya na Hamis Kagasheki ambao wote wamepata kura za maoni kwa asilimia 1.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo,zaidi ya robo tatu ya watanzania wanaamini kwamba Tanzania ni nchi yenye demokrasia, asilimia 57 kati yao wanaamini kwamba yapo matatizo madogo madogo.
Asilimia 21 ya waliohojiwa wamesema, Tanzania ipo demokrasia kamili, demokrasia yenye matatizo makubwa asilimia 15 wakati asilimia 3 ya wananchi walidai kwamba nchi haina demokrasia.
Wananchi walipoulizwa endapo uchaguzi ungeitishwa kesho ni wangapi wangepiga kura asilimia 94 walidai wangepiga kura, na asilimia 5 walisema wasingepiga kura.
Asilimia 69 walidai wamechoshwa na siasa, asilimia 9 walisema hawajajiandikisha, asilimia 7 ya wananchi walisema wagombea hawawasaidii.
Gunda amesema, katika utafiti huo walipita mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Mbeya,Kagera, Dar es Salaam, Kigoma, Zanzibar, Tanga, Morogoro, Tabora, Iringa, Dodoma, Kilimanjaro, Arusha, Mtwara, Mara, Singida, Rukwa, Manyara, Ruvuma, Pwani, Lindi na Pemba.
Aidha alisema kuwa waliwahoji wanaume kwa asilimia 54 na wanawake asilimia 46,waliwagawa katika matabaka manne kuanzia umri wa mika 18-27 asilimia 39 walihojiwa, 28-37 asilimia 32, 38-47 asilimia 16 na miaka 48 na kuendelea walihojiwa asilimia 14.
Pia alisema kuwa watu 100 walishiriki kufanya mahojiano na kwamba,walikuwa wamepatiwa mafunz
Silaumu waliokusanya statistics,.. nalaumu uelewa wa waTanzania... kweli Anna Kilango ndio mbunge effective kuliko wote CCM... nina hakika hata ukimuuliza Sitta na Wabunge wengine watakwambia hapana... kuongea kwa sauti kubwa au kwa uchungu sio tija!
Yatakuja mengi ya kumsafisha Kikwete.
Inawezekana mmesahau kuwa Kikwete ni bingwa wa kutengeneza image yake mbele ya umma. 2005 alijjitengenezea image ya nabii sijui leo anakuja na image gani?
Jerry Silaa ni Mbunge wa wapi na amefanya nini mpaka naye awemo kwenye list?