Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
huu utafiti umefanyiwa ccm lumumba wakati wa chai ya saa nne leo 22/2/2010.
kwa hiyo sio utafiti ila ni porojo tu za wanasiasa waliolemaa fikra.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu utafiti umefanyiwa ccm lumumba wakati wa chai ya saa nne leo 22/2/2010.
hilo nimelipenda; ndio maana watu wengine wanasema Chadema au viongozi wake wamefanya mengi kwa sababu wanaongea kwa sauti kubwa na uchungu! the same can be said with some members ndani ya CCM..
Huu utafiti umefanyiwa CCM Lumumba wakati wa chai ya saa nne leo 22/2/2010.
Kura zakifisad matoke yakifisadi. Inaönyesha yote ni propaganda. Tumewashi2kia wana ccm.
Hii 70% ndiyo ile fata upepo aliyosema mkulu mwenyewe?
Mimi nafikiri propaganda ndio zimeanza na kampeni za chini chini kuonyesha kuwa JK hapingiki ndio zimeanza.
Hili linafanyika ikiwa ni jitihada za kuzima maandalizi ya watu wenye uwezo kujitokeza kugombea kiti cha Urais na huu ni uzandiki.
hayo ni maoni yako ukiwa kama kada wa ccm tuondolee uchafu wako kwenye jf , kiwete nani anmuhitaji kwenye taifa hili labda ccm wasiyo ona mbali kama weweLeo synovate wamekutana na wanahabari na kutangaza matokeo ya utafiti wao kuhusu hali ya taifa. Wametaja kuwa Kikwete anaongoza kwa kuwa na asilimia 70 akifutiwa na Freeman Mbowe mwenye asilimia 10, akiwa ametangulia kidogo Lipumba. Hii ni katika nafasi ya urais.
Katika bunge utafiti wao unaonyesha kwamba Zitto Kabwe ndiye mbunge bora kuliko wote akifuatiwa na Anna Kilango. Katika matokeo hayo Mbunge mwingine bora anayetajwa ni Jerry Silaa ambaye ni diwani wa ukonga. Utafiti huo unasema kwamba wananchi wapatao elfu mbili waliohojiwa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wamemtaja diwani huyo kuwa anachapa kazi kwa kiwango kikubwa na wakiamini kwamba ni mbunge. Katika utafiti huo Dr Slaa anatajwa kuwa nyuma.
Kwa upande wa vyama matokeo yanaonyesha kwamba CCM iko karibu zaidi na wananchi kwa asilimia 70 ikifuatiwa na CHADEMA yenye asilimia 14.
......ndiyohiyo
Leo synovate wamekutana na wanahabari na kutangaza matokeo ya utafiti wao kuhusu hali ya taifa. Wametaja kuwa Kikwete anaongoza kwa kuwa na asilimia 70 akifutiwa na Freeman Mbowe mwenye asilimia 10, akiwa ametangulia kidogo Lipumba. Hii ni katika nafasi ya urais.
Katika bunge utafiti wao unaonyesha kwamba Zitto Kabwe ndiye mbunge bora kuliko wote akifuatiwa na Anna Kilango. Katika matokeo hayo Mbunge mwingine bora anayetajwa ni Jerry Silaa ambaye ni diwani wa ukonga. Utafiti huo unasema kwamba wananchi wapatao elfu mbili waliohojiwa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wamemtaja diwani huyo kuwa anachapa kazi kwa kiwango kikubwa na wakiamini kwamba ni mbunge. Katika utafiti huo Dr Slaa anatajwa kuwa nyuma.
Kwa upande wa vyama matokeo yanaonyesha kwamba CCM iko karibu zaidi na wananchi kwa asilimia 70 ikifuatiwa na CHADEMA yenye asilimia 14.
......ndiyohiyo
Leo synovate wamekutana na wanahabari na kutangaza matokeo ya utafiti wao kuhusu hali ya taifa.
mtandao upo kazini Mwatanganyika kuweni macho, sample 2000, maana yake kila mkoa wa tanzania bara wakiwahoji watu 100, sasa unaweza kukuta watu wenyewe walikutwa kwenye mashina ya CCM- synovate ni nini? NGO?? or what ?? na Board of Directors ni akina nani?
- utafiti kuhusu hali taifa maana yake nini?
- ubora wa mbunge umepimwa kwa vigezo vipi?
- Jerry Silaa ni diwani au mbunge?
- sample size mbona inatia shaka? watu 2,000 (elfu mbili!)
- ukaribu na wananchi unapimwaje?
naomba maelezo zaidi kwa mwenye nayo - this looks like a Y2K bug!
Natabiri kati ya mwezi wa nane au wa tisa mwanakijiji atamuunga mkono kikwete eti kwa sababu Chadema hawafanyi kama anavyotaka yeye. Waberoya atafurahi sana kwa sababu chadema itakuwa imekomoka. Lakini Mbowe, Slaa na Zitto siyo watu pekee watakao au wanao komoka na khali hii tuliyo nayo.
Jamani hebu tuambieni mnataka nini?