Matokeo ya Utafiti: Kikwete, Freeman Mbowe, Zitto, Killango, Jerry Silaa na Dr Slaa

Matokeo ya Utafiti: Kikwete, Freeman Mbowe, Zitto, Killango, Jerry Silaa na Dr Slaa

I have a strong belief that you can fool some people for some time but you can not fool all the people all the time.

Haya yote yana mwisho wake. Nothing was stronger than the roman empire. lakini wakati wake ulipofika ilianguka. Kumbuka utawala wa kikomunisti wa nchi za ulaya mashariki ulipofika wakati wake ulianguka. Chama cha labour nchini Japani kilitawala kwa miaka hamsini lakini wakati wake ulupofika kilianguka.

Tafiti kama hizi ni za za kujaribu kuconfuse watu kama walivyomtuma Sheikh yahya lakini kwa watu makini watazipuuza na kuendeleza mapambano ya kuleta mabadiliko ya haki katika nchi hii

Aluta continua
 
hilo nimelipenda; ndio maana watu wengine wanasema Chadema au viongozi wake wamefanya mengi kwa sababu wanaongea kwa sauti kubwa na uchungu! the same can be said with some members ndani ya CCM..

Natabiri kati ya mwezi wa nane au wa tisa mwanakijiji atamuunga mkono kikwete eti kwa sababu Chadema hawafanyi kama anavyotaka yeye. Waberoya atafurahi sana kwa sababu chadema itakuwa imekomoka. Lakini Mbowe, Slaa na Zitto siyo watu pekee watakao au wanao komoka na khali hii tuliyo nayo.

Jamani hebu tuambieni mnataka nini?
 
Huu utafiti umefanyiwa CCM Lumumba wakati wa chai ya saa nne leo 22/2/2010.

hahaaaaa... ni kweli yawezekana ulifanywa lumumba.........watanzania tupo zaidi ya milioni 40! sasa sijui hata huo utafiti umefanywa kwa watanzania wangapi, wa mikoa mingapi, kwa muda gani, na waliwapima ubora kwa vigezo vipi?? ilitakiwa kabla ya kutoa matokeo watueleze njia walizotumia katika research yao. vinginevyo watawadanganya wananchi walio wengi kwa utafiti wao usio na kiwango
 
Mkuu wa hii synovate ni nani, wa REDET alipewa u-vice chancellor UDSM baada ya kupiga propaganda za kasi mpya kwa research zake za uongo. Hawa nao wanataka nini baada ya uchaguzi????????

kweli unaweza ukasoma ukaishia kuwa mpuuzi!!!
 
Kura zakifisad matoke yakifisadi. Inaönyesha yote ni propaganda. Tumewashi2kia wana ccm.

JK ameshatangaza kuwa mwaka huu ni mwaka wa siasa,na kama ndio hivyo tutegemee tusichokipenda hivi karibuni.Mimi nashangaa kashfa kibao hazijashughulikiwa yet bado mtu anaongoza kwa asilimia 70 we are not serious.

Hata kama sensization ya mambo ya siasa imefanyika matokeo haya yanaonyesha kuwa uelewa wa watanzania bado ni zero kwani hawajaweza kupambanua sifa dhabiti za kiongozi.

Kashfa ya ndege ya Rais, kashfa ya Rada, Meremeta, wizi wa BOT, Kagoda, Deep Green Finance, Richmond, IPTL, Kiwira, mabomu ya mbagala, ufujaji wa hela halmashauri, matumizi makubwa ya serikali inluding magari ya kifahari yanayotumika hivyo,bila kusahau safari za JK ambazo hazijaonyesha tija yoyote kwa Taifa nk.

Yaani yote hayo hapo juu hayajatolewa maelezo ya kina kwa wananchi kutosheleza kiu yao,isitoshe JK hajaonyesha uongozi wa dhati kukabiliana na mambo hayo yet anapata asimia 70 na chama kinaonekana kuwa karibu na wananchi,huu si usanii huu.

Haya ndiyo mambo yatakayoendelea kuanzia sasa mpaka wakati wa uchaguzi kuwabrain wash wadanganyika wasahau yale yote yaliyotokea huko nyuma.Kazi kubwa ipo kuwaelimisha wadanganyika walio wengi ili kuepukana na utapeli huu wa kisiasa ambao sasa umeanza kufanyiwa kazi.
 
Tujiulize kwanza, humu JF ni nani kati yetu alifikiwa na hawa jamaa na kuulizwa maswali kwenye tafiti hii? najua hakuna hata mmoja, sasa wanatoa wapi haya matokeo ya UONGO? eti kikwete anakubalika/utendaji wake unawaridhisha WADANGANYIKA kwa 75%. huu ni uongo MTUPU. hiki ki taasisi yaelekea kimeundwa na CCM kwa ajili ya kupiga changa la macho wananchi ili wampigie kura huyo jamaa anayechekacheka hata kwenye matatizo makubwa yanayoikabili nchi hii. Ukiwa km baba wa familia unaona kabisa watoto wako wanakwenda kinyume na maadili ya nyumba yako, eti wewe unawachekea tu bila kuwapa adhabu, siku ya siku watakutusi mbele ya wageni au wakwe zako, ndo haya ya huyu anayejiita sijui muungwana. aaaagh UTUMBO MTUPU!!!
 
Hii ni kutaka kudharaulisha kazi ya utafiti! Aliye fanya hii kazi haelewi maana ya utafiti, huwezi changanya madesa namna hiyo, unauliza ubora wa diwani kwa level ya Taifa?

Hivyo vigezo vilivyo tumika kuwapima wabunge ni vipi? sura urefu ama?, Na vigezo vipi vilitumika kuwateua majina yaliyo husika katika utafiti? walirusha shilingi?

Hiyo ya kikwete ndo fungs breki, asilimia 70?? ama kweli UGIMBI umetuzidia wadanganyika!
 
Hii 70% ndiyo ile fata upepo aliyosema mkulu mwenyewe?

Tatizo kubwa tulilonalo wadanganyika tulio wengi hatufanyi utafiti wa kina tunapenda kufata mkumbo na hii itatutesa kwa muda mrefu kama hatutakuwa makini.

Huu wote ni upuuzi mtupu hakuna utafiti wala nini ni usanii tuu umefanyika hapa.
 
Hivi hawa wenzutu 2000 wanaweza kutoa picha ya hali halisi au ndio usanii umeeanza.
 
Mimi nafikiri propaganda ndio zimeanza na kampeni za chini chini kuonyesha kuwa JK hapingiki ndio zimeanza.

Hili linafanyika ikiwa ni jitihada za kuzima maandalizi ya watu wenye uwezo kujitokeza kugombea kiti cha Urais na huu ni uzandiki.

Hakika mambo ya chini ya zulia yameanza sasa, huenda huyu ndg naye ameandaliwa kanafasi ktk hili. Nani aliyesahau utafiti wa REDET ulioibuliwa zikiwa zimebaki siku chache za kupiga kura Dec 2000, na tumeshuhudia m/kiti wa REDET akiulamba umakamu wa Mlimani ki-ulaini kabisa.
Hii ndo Tanzania Tanzania mafisadi wanakupenda kwa moyo wote,
Nchi yao Tanzania jina lako ni tamu sana
Walalapo wakuwaza wewe,
Waamkapo uamka na mipango mipya ya kukwapua
 
Leo synovate wamekutana na wanahabari na kutangaza matokeo ya utafiti wao kuhusu hali ya taifa. Wametaja kuwa Kikwete anaongoza kwa kuwa na asilimia 70 akifutiwa na Freeman Mbowe mwenye asilimia 10, akiwa ametangulia kidogo Lipumba. Hii ni katika nafasi ya urais.

Katika bunge utafiti wao unaonyesha kwamba Zitto Kabwe ndiye mbunge bora kuliko wote akifuatiwa na Anna Kilango. Katika matokeo hayo Mbunge mwingine bora anayetajwa ni Jerry Silaa ambaye ni diwani wa ukonga. Utafiti huo unasema kwamba wananchi wapatao elfu mbili waliohojiwa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wamemtaja diwani huyo kuwa anachapa kazi kwa kiwango kikubwa na wakiamini kwamba ni mbunge. Katika utafiti huo Dr Slaa anatajwa kuwa nyuma.

Kwa upande wa vyama matokeo yanaonyesha kwamba CCM iko karibu zaidi na wananchi kwa asilimia 70 ikifuatiwa na CHADEMA yenye asilimia 14.

......ndiyohiyo
hayo ni maoni yako ukiwa kama kada wa ccm tuondolee uchafu wako kwenye jf , kiwete nani anmuhitaji kwenye taifa hili labda ccm wasiyo ona mbali kama wewe
 
Leo synovate wamekutana na wanahabari na kutangaza matokeo ya utafiti wao kuhusu hali ya taifa. Wametaja kuwa Kikwete anaongoza kwa kuwa na asilimia 70 akifutiwa na Freeman Mbowe mwenye asilimia 10, akiwa ametangulia kidogo Lipumba. Hii ni katika nafasi ya urais.

Katika bunge utafiti wao unaonyesha kwamba Zitto Kabwe ndiye mbunge bora kuliko wote akifuatiwa na Anna Kilango. Katika matokeo hayo Mbunge mwingine bora anayetajwa ni Jerry Silaa ambaye ni diwani wa ukonga. Utafiti huo unasema kwamba wananchi wapatao elfu mbili waliohojiwa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wamemtaja diwani huyo kuwa anachapa kazi kwa kiwango kikubwa na wakiamini kwamba ni mbunge. Katika utafiti huo Dr Slaa anatajwa kuwa nyuma.

Kwa upande wa vyama matokeo yanaonyesha kwamba CCM iko karibu zaidi na wananchi kwa asilimia 70 ikifuatiwa na CHADEMA yenye asilimia 14.

......ndiyohiyo

Mimi ukoo wangu japo ni mdogo una watu karibu elfu mbili wenye uwezo wa kupiga kura. Tunazungumzia taifa lenye watu milioni 50.

2,000/50,000,000 unapata 0.004%. sasa ukizidisha na 70% ya synovate, maana yake ni kuwa asilimia 0.0028 au 0.0028% ya watanzania wanamkubali Kikwete,

Kimsingi Synovate inasema zaidi ya 99% ya watanzania haimkubali. Hii inasimama hivyo kwa kuwa 0.004% ya watanzania ni 'logically irrelevant sample' Hakuna matokeo yanayoweza kukupa 'logically pursuasive conclusion' kwa hiyo 'statistically' haikubaliki.

Unapofanya Sampling ni vizuri ukaenda na 'acceptable threshold' vinginevyo kwa wajuzi wa mambo utakuwa unatukana wakubwa wa nchi yako bila kujua, ukifikiri unawasifia.

Siku hizi kuna Kindergaten nyingi tu zinafanyisha 'kids' research na wanapohitimu masomo wanavalishwa majoo na kofia zinazofanana na za vyuo vikuu, halafu kwenye hotuba wanasema 'Graduants of early childhood studies'

You guys need to be serious.
 
Watanzania walitaka kuibadilikia CCM mwaka 1995. Mwalimu akaokoa jahazi. Ni lazima sasa apatikane mtu mwingine mwenye haiba na ushawishi kama aliokuwa nao Mrema wakati ule. Vinginevyo tafiti hizi zitabaki hivyo zilivyo.
 
Leo synovate wamekutana na wanahabari na kutangaza matokeo ya utafiti wao kuhusu hali ya taifa.

- synovate ni nini? NGO?? or what ?? na Board of Directors ni akina nani?
- utafiti kuhusu hali taifa maana yake nini?
- ubora wa mbunge umepimwa kwa vigezo vipi?
- Jerry Silaa ni diwani au mbunge?
- sample size mbona inatia shaka? watu 2,000 (elfu mbili!)
- ukaribu na wananchi unapimwaje?

naomba maelezo zaidi kwa mwenye nayo - this looks like a Y2K bug!
 
- synovate ni nini? NGO?? or what ?? na Board of Directors ni akina nani?
- utafiti kuhusu hali taifa maana yake nini?
- ubora wa mbunge umepimwa kwa vigezo vipi?
- Jerry Silaa ni diwani au mbunge?
- sample size mbona inatia shaka? watu 2,000 (elfu mbili!)
- ukaribu na wananchi unapimwaje?

naomba maelezo zaidi kwa mwenye nayo - this looks like a Y2K bug!
mtandao upo kazini Mwatanganyika kuweni macho, sample 2000, maana yake kila mkoa wa tanzania bara wakiwahoji watu 100, sasa unaweza kukuta watu wenyewe walikutwa kwenye mashina ya CCM
 
Hivi hizi tafiti mbona zote zinanipita? Huwa wanawapa watu wa aina gani hizi dodoso?
Halafu kama ni kundi linalofikiri kuwa huyo diwani ni mbunge, ni wazi kuwa ni kundi lenye upeo mdogo wa uelewa na halina namna ya kupata taarifa (access to information)! Basi wafanye utafiti mwingine katika kundi la watu wenye uelewa, kwa mfano wafanyakazi wa maofisini, wa serikali, wanafunzi wa vyuo n.k. na kuweka bayana matokeo yake.

Aibu!
 
KWELI KAMA TAFITI ZENYEWE NDIO HIZI WACHA TUBAKI NYUMA,
HAKUNA EXCLUSION CRITERIA NA WANATOA RESULTS, WHO IS JERRY SILAA NDANI YA BUNGE?

Kuna upupu fulani ukitoka unatamani ukamate bunduki ukawashe watu pale posta
 
Natabiri kati ya mwezi wa nane au wa tisa mwanakijiji atamuunga mkono kikwete eti kwa sababu Chadema hawafanyi kama anavyotaka yeye. Waberoya atafurahi sana kwa sababu chadema itakuwa imekomoka. Lakini Mbowe, Slaa na Zitto siyo watu pekee watakao au wanao komoka na khali hii tuliyo nayo.

Jamani hebu tuambieni mnataka nini?

You must be genius
 
Matokeo haya yanaonyesha kwamba Watanzania wana imani na Kikwete. Lakini CCM bado hawajakwenda kuchukua fomu za kugombea Urais. Na sasa ndio wakati ambao wapo watu kadhaa au watu wengi ambao watakuwa wanafikiria kwenda kuchukua fomu ya kugombea Urais.
Kwa hiyo,ingawa huo utafiti,hiyo poll haina matatizo katika maswali yaliyoulizwa,lakini sasa uaweza kufanya poll nyingine,kwa sababu kwa mfano wapo Sitta na Lowassa who have locked horns,Lowassa anaitwa fisadi,na Sitta anaitwa Mr. Clean. Kwa nini usifanye poll kuuliza kama Sitta akichukua fomu ya kugombea Urais wananchi watapiga kura vipi,au Lowassa akiamua kuchukua fomu,wananchi watapiga kura vipi? Kwa sababu, kwa nini Lowassa anasema ati anataka kuombwa msamaha,labda ni kwa sababu anataka kuchukua fomu ya kugombea Urais.
Halafu jambo lingine nataka kufanya comment ni kwamba Bunge limejadili Richmond halafu limefikia mwafaka wa aina fulani,kwamba watafanya uchunguzi zaidi. Kwa nini wasifanye hivyo hivyo kwa Meremeta,kwa sababu haya ni mambo yote ambayo yalikuwa shelved na Bunge,yaani,Richmond na Meremeta.
Kwa vile sasa tatizo la Richmond limekuwa solved somewhat,kwamba makosa yanaonekana kwamba yamefanyika lakini kuna matatizo katika kupata watertight case dhidi ya watuhumiwa,kwa nini sasa swala la Meremeta lisijadiliwe? I understand kwamba hii Kampuni ya Meremeta,na ipi ile nyingine,Tan Gold?.,zote zinamilikiwa na mtu mmoja mwanajeshi .
Nasikia hizi habari lakini siwezi kuzithibitisha. Paradoxically,ni mtuhumiwa wa ufisadi ndio amesikika akisema kwamba Meremeta na Tangold,zote mbili ni kampuni mtu mmoja mabye ni mwanajeshi.
 
Back
Top Bottom