Matokeo ya VPL: Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao mawili kwa moja dhidi ya Dodoma Jiji FC

Matokeo ya VPL: Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao mawili kwa moja dhidi ya Dodoma Jiji FC

29' Kagere Gooooooooooooal

Maddie Kagere anaipatia Simba SC bao la kwanza kwa kichwa akipokea pasi safi kutoka kwa Bernard Morrison

Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC
 
Cross ya wakili msomi inamkuta Mohammed Kagere ,anapiga kichwa cha kuparaza Na Moira kuzama wavuni. Dodoma 0 Simba 1
 
32' wanakwenda sasa simbaaaaa Morrison ni Offside
 
Dodoma Jiji FC wameanza kulala mapema kupoteza muda..!

Refa awe makini Otherwise....
 
Hivi benchi la ufundi la simba wanashindwa kumwambia Wawa apunguze mipira mirefu maana anapiteza mipira mingi
 
45+3'

Kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Jamhuri Dodoma

Anarusha mchezaji wa Dodoma FC lakini Simba wanakataa, unapigwa kati kwake Bwalya na Miquissone anaomba naaam

Free Kick kuelekea Dodoma Jiji FC, eneo bomba kuweka bao

Anapigaaaa Chamaaaa, loooooo njeee, ni goal kick

Naaaam mpira ni mapumziko uwanja wa Jamhuri Dodoma

HT: VPL Dodoma Jiji FC 1-1 Simba SC
 
Back
Top Bottom