Hatupendi mpira tunazipenda Simba na Yanga.Sijawahi kuna pamoja na ukubwa wa team kama Barca, Real, Man, Liver sijui city na wengine wengi wakaenda ugenini kucheza halafu watu waka support team ya wageni...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatupendi mpira tunazipenda Simba na Yanga.Sijawahi kuna pamoja na ukubwa wa team kama Barca, Real, Man, Liver sijui city na wengine wengi wakaenda ugenini kucheza halafu watu waka support team ya wageni...
Huna MunguKila la kheri Dodoma jiji fc
Nyingi anapotezaKweli pasi nyingi halafu fupi ni kero ,namkubali sana wawa kwa pasi ndefu
Catalonia.. nioneshe picha ya shabiki wa espanyol akiishangilia barca vs timu ya ugenini, madrid: shabiki wa atletico aishangilie real! Manchester: shabiki wa city aishangilie utd! liverfool aishangilie everton?Sijawahi kuna pamoja na ukubwa wa team kama Barca, Real, Man, Liver sijui city na wengine wengi wakaenda ugenini kucheza halafu watu waka support team ya wageni. Wenzetu mapenzi wanayo na team kubwa lakini full support team zao za nyumbani...
Dah.. watu wengine aisee
Sio lazima saaana kufuata utaratibu wao..Sijawahi kuna pamoja na ukubwa wa team kama Barca, Real, Man, Liver sijui city na wengine wengi wakaenda ugenini kucheza halafu watu waka support team ya wageni. Wenzetu mapenzi wanayo na team kubwa lakini full support team zao za nyumbani. Kwa hili tutabaki kuwa watumwa wa team hizi mbili. Kidogo miaka ile ya Pamba, CDA, Reli sijui Tukuyu hata RTC Kigoma team zilikuwa zinapendwa kwao. Penda Simba na Yanga sababu ya ukongwe ila wakija nyumbani kwenu shangilia team ya nyumbani nchi zote ndio utamaduni. Najuwa nitatukanwa humu ila ndio ukweli
Kulikon mkuu???Dah.. watu wengine aisee
Umetabiri vyema kabisaKulikon mkuu???
hili nalo neno mkuuMkuu,,
Hawa wakimataifa wanapata wapi Match Fitness,?
Kama
Lukosa
Beki wa zimbabwe
.Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL kuendelea kutimua vumbi leo January 4, 2021kwa mechi mbili kupigwa, ambapo Dodoma Jiji FC wanakabiliana na Mnyama Mkali Simba SC, kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, huku KMC wakicheza na Namungo FC kwenye uwanja wa Uhuru Dar es salaam.
Mechi hizi ni za viporo na ni mwanzo wa kurejea kwa Ligi Kuu Tanzania VPL, baada ya kusimama kupisha michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN ambapo bado inaendelea nchini Cameroon.
Mchezo wa Dodoma Jiji FC na Simba SC unatarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika 90 hasa ukizongatia ni mara ya kwanza kukutana kwenye VPL.
Kocha wa Simba SC Didier Gomes ambaye atakongoza jahazi kwanza mara ya kwenye VPL, amesema " Utakuwa mchezo mgumu lakini tupo tayari kupambana ni muhimu sana, tuna michezo mitatu mkononi tunatakiwa kushinda" amesema Gomes.
Kwa upande wa Kocha wa Dodoma Jiji, Mbwana Makatta amesema " Ni mechi muhimu kushinda kutokana na kuwa sehemu ambayo si rafiki kwenye msimamo wa VPL, lakini wapo tayari kuwakabili Simba SC na hata wachezaji wanalijua hilo.
Yote ni ndani ya dakika 90 za mchezo. Kumbuka mitanange hii ni kuanzia saa 10: 00 jioni Usikose Ukasimuliwa.
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana.
View attachment 1694210View attachment 1694211
Update;
===========================
Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao mawili kwa moja dhidi ya Dodoma Jiji FC, mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma
Simba ilikuwa ya kwanza kuandika bao kupitia kwa mshambuaji Maddie Kagere na Bernard Morrison akifunga bao la pili huku Mkandala akifunga bao moja upande wa Dodoma Jiji FC
FT, VPL; Dodoma Jiji FC 1-2 Simba SC
Amekua akiilaazimisha sana sijui kwanini.niliona pia mechi na Tp mazembe alipoteza mipira mingi kwa kuipiga tu mbele bila accuracy .inabidi benchi la ufundi limuambie na nilazima aangalie timu wanayocheza nayo.Wawa ni beki mzuri ila kuna kipindi anakua mtegevu hasa kwenye mipira ya vichwa.Hivi benchi la ufundi la simba wanashindwa kumwambia Wawa apunguze mipira mirefu maana anapiteza mipira mingi
Amekua akiilaazimisha sana sijui kwanini.niliona pia mechi na Tp mazembe alipoteza mipira mingi kwa kuipiga tu mbele bila accuracy .inabidi benchi la ufundi limuambie na nilazima aangalie timu wanayocheza nayo.Wawa ni beki mzuri ila kuna kipindi anakua mtegevu hasa kwenye mipira ya vichwa.
Yaa ni sahihi unapowatuma wenzio na wewe uwe wakwanza kutumika.kuna nafasi ya mwisho ambayo waliipata Dodoma Jiji ilipigwa foul jamaa akapiga kichwa peke yake na alitakiwa kukabwa na Wawa lakini Wawa akamuacha na ni manula tu alieokoa lasivyo ingalikua ni sare,ukiangalia vizuri kwa umakini ulitokea mzozo pale golini.Kama uliona Cameron na Mali mipira ya kona,
Walikua wanapambana wote na kuhamasishana kuzuia
Wawa ni beki ndo kwanza angetakiwa washurutisha wenzie na yeye mwenyewe kama Lamine pia anavyofya
Yeye sasa anacheza ki bos boss wala hajali