Ni yeye,Kagereeeeee Simba 1-0 Dodoma jiji
Ameshapona busha?Daaaah Morrisoon weeee, namna gani hapa unapoteza nafasi ya kufunga
Game dk 90 na vile Jiji wamesema hawajawahi kupoteza game uwanja wa homeCross ya wakili msomi inamkuta Mohammed Kagere ,anapiga kichwa cha kuparaza Na Moira kuzama wavuni. Dodoma 0 Simba 1
Nasikia wamesawazisha huko32' wanakwenda sasa simbaaaaa Morrison ni Offside
Kagere mfungaji bora misimu miwili Kuku kishingo eti alikua anamuona silolote si chochote.Ni yeye,
Kumbe Kagere bado wamo. Yule kocha Kishingo alitaka kumstaafisha.
Refa mpira huu utamshinda viatu vimezidi halafu hachukui hatua yoyote anaacha tuDodoma Jiji FC wameanza kulala mapema kupoteza muda..!
Refa awe makini Otherwise....