Matokeo ya Wachaga walioenda kuhesabiwa kwao

Hii ni thread ya mwaka!! Nimecheka sana! Ingawa nimechelewa kuiona ila nimecheka sana!
 
Reactions: EMT
Leo ndio naiona hii thread naamini warombo tuliibiwa kura zetu hasa kwa upande wa kuchinja mbusi! upande wa mbege inawezekana kwani siku hizi tumepunguza kunywa mbege na kuwekeza zaidi katika unywaji wa BIA. Ndizi nyingi sasa tunauza Dar na Nairobi .
 
Reactions: EMT

Nasikia mna mpango wa kukata rufaa?
 
hao mbuzi wanaletwa kutoka mkoa upi maana kama wanaliwa hivo basi kilimanjaro siamini kama bado kuna mbuzi
 
ila marangu wanadai kuna uchakachuaji umefanyika kwenye mashindano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…