Matokeo ya Yanga vs Tukuyu Star

Na tukiacha kufika fainali ya CAF, Simba ndio timu pekeeya Tanzania kama sio EA kuwahi kumtupa nje ya Mshindano Bingwa Mtetezi, Zamaleikh.
 
kazi kuokotaokota vihistoria, lakini nowhere unasema kawa bingwa, simba haina ubavu wa kuicheka yanga kwa mafanikio ya kuungaunga!
Yanga hata hayo Mafanikio ya kuunga unga na kuokoteza historia hayapo.
 
We umeanza kushabikia mpira baada ya mo kuwekeza nn?Au ni ule umbumbumbu aliousema Rage
 
Simbarutty imefanya maajabu gani? Manake kucheza fainali CAF siyo maajabu. Maajabu ni kuchukua ubingwa siyo kuingia fainali au nusu fainali. Kujisifu kwa hilo ni u underdog ulokithiri. Eti tulimtoa zamalek so what!!!
 
Yaani Yanga imefikia kiwango cha kucheza na Tukuyu Stars? Hii band sasa hivi inashuka daraja
 
Na tukiacha kufika fainali ya CAF, Simba ndio timu pekeeya Tanzania kama sio EA kuwahi kumtupa nje ya Mshindano Bingwa Mtetezi, Zamaleikh.

Hapa ndipo ninapowashangaa 'Wagogo wa Jangwani' (Yanga) kujiita wa kimataifa, kwa mpira upi wakati hawana mpira wowote kimataifa?
 
We umeanza kushabikia mpira baada ya mo kuwekeza nn?Au ni ule umbumbumbu aliousema Rage

Hivi umezaliwa jana ama? Kwani ulikuwa hujuwi kuwa Simba ilifika fainali CAF mwaka 1993 na Simba ndiyo timu pekee ya hapa Tanzania ama ukanda huu wa EA iliyowahi kuwatoa mabingwa watetezi (Zamalek) kwenye kinyang'anyiro chao, ulikuwa hujuwi hili? Mo kawekeza Simba kwa sababu anajuwa ndiyo timu pekee yenye historia nzuri ya kimataifa. Nipe wasifu wa 'Wagogo wa Jangwani' (Yanga) katika mashindano ya kimataifa....usione haibu, sema wasifu wao kama hujalia hapa kwa haibu.
 
Simbarutty imefanya maajabu gani? Manake kucheza fainali CAF siyo maajabu. Maajabu ni kuchukua ubingwa siyo kuingia fainali au nusu fainali. Kujisifu kwa hilo ni u underdog ulokithiri. Eti tulimtoa zamalek so what!!!

Sasa Wagogo wa Jangwani walifikia lini kwenye fainali ya CAF au hata nusu fainali? Uchawi wa Wagogo wa Jangwani ni hapa hapa nchini ila kimataifa hawana lolote, wawaachie tu wababe wao Simba wenye mazoea.
 
Huyu anayezungumza ni kocha ama mchezaji au aliwahi hata kucheza mpira maishani mwake? Sielewi kwanini unamjumuisha yeye kwenye sakata hili la Wagogo wa Jangwani, anahusiana nini na wao kuomba omba hela hapa mjini?
 
Nitarudi kusoma ukiandika vizuri, maana umeandika kimbumbumbu sana mkuu
 
Gor Mahia walishachukua kombe la Washindi (CAF Winners Cup) kwa kuifunga Al-Ahly. Kweli wewe ni mtoto mdogo bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…