mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Tukuyu?!!!! hii dharau kabisa
Dharau kivipi wakati hao Tukuyu ndiyo level moja na omba omba Yanga a.k.a. Wagogo wa Jangwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukuyu?!!!! hii dharau kabisa
Na tukiacha kufika fainali ya CAF, Simba ndio timu pekeeya Tanzania kama sio EA kuwahi kumtupa nje ya Mshindano Bingwa Mtetezi, Zamaleikh.We mpuuzi kweli, eti Yanga daima mbele nyuma mwiko....hivi umewahi kujiuliza mmefanya nini kwenye mashindano ya kimataifa hapa Afrika? Yaani toka wewe na wazazi wako mzaliwe Yanga imefanya maajabu gani katika soka hapa Afrika, kila mwaka mnakuwa jamvi la wageni mnaishia wa mwisho kwenye makundi tu na kulitia taifa haibu. Uchawi wenu ni hapa hapa Tanzania, soka la kimataifa hamliwezi hata kidogo...waachieni wababe wenu Simba. Yes, wao walifika fainali CAF mwaka 1993 kitu ambacho Yanga haitegemei kufanya hata siku moja. Makonda alikosea sana kutowakamata omba omba Yanga kipindi anasaka Wagogo/ombaomba wa mjini.
kazi kuokotaokota vihistoria, lakini nowhere unasema kawa bingwa, simba haina ubavu wa kuicheka yanga kwa mafanikio ya kuungaunga!Na tukiacha kufika fainali ya CAF, Simba ndio timu pekeeya Tanzania kama sio EA kuwahi kumtupa nje ya Mshindano Bingwa Mtetezi, Zamaleikh.
.wathenge hawa wanacheza championi league mara moja wanajiona real madrid. Si stupid.Kama Green worries
Yanga hata hayo Mafanikio ya kuunga unga na kuokoteza historia hayapo.kazi kuokotaokota vihistoria, lakini nowhere unasema kawa bingwa, simba haina ubavu wa kuicheka yanga kwa mafanikio ya kuungaunga!
labda kama umeanza kushabikia mpira baada ya Mo kuichukua simbaYanga hata hayo Mafanikio ya kuunga unga na kuokoteza historia hayapo.
Nikweli kama green warriors walivyokutoboaHizi timu ndio level ya yanga
We umeanza kushabikia mpira baada ya mo kuwekeza nn?Au ni ule umbumbumbu aliousema RageWe mpuuzi kweli, eti Yanga daima mbele nyuma mwiko....hivi umewahi kujiuliza mmefanya nini kwenye mashindano ya kimataifa hapa Afrika? Yaani toka wewe na wazazi wako mzaliwe Yanga imefanya maajabu gani katika soka hapa Afrika, kila mwaka mnakuwa jamvi la wageni mnaishia wa mwisho kwenye makundi tu na kulitia taifa haibu. Uchawi wenu ni hapa hapa Tanzania, soka la kimataifa hamliwezi hata kidogo...waachieni wababe wenu Simba. Yes, wao walifika fainali CAF mwaka 1993 kitu ambacho Yanga haitegemei kufanya hata siku moja. Makonda alikosea sana kutowakamata omba omba Yanga kipindi anasaka Wagogo/ombaomba wa mjini.
Simbarutty imefanya maajabu gani? Manake kucheza fainali CAF siyo maajabu. Maajabu ni kuchukua ubingwa siyo kuingia fainali au nusu fainali. Kujisifu kwa hilo ni u underdog ulokithiri. Eti tulimtoa zamalek so what!!!We mpuuzi kweli, eti Yanga daima mbele nyuma mwiko....hivi umewahi kujiuliza mmefanya nini kwenye mashindano ya kimataifa hapa Afrika? Yaani toka wewe na wazazi wako mzaliwe Yanga imefanya maajabu gani katika soka hapa Afrika, kila mwaka mnakuwa jamvi la wageni mnaishia wa mwisho kwenye makundi tu na kulitia taifa haibu. Uchawi wenu ni hapa hapa Tanzania, soka la kimataifa hamliwezi hata kidogo...waachieni wababe wenu Simba. Yes, wao walifika fainali CAF mwaka 1993 kitu ambacho Yanga haitegemei kufanya hata siku moja. Makonda alikosea sana kutowakamata omba omba Yanga kipindi anasaka Wagogo/ombaomba wa mjini.
Hahahah!Yanga hata hayo Mafanikio ya kuunga unga na kuokoteza historia hayapo.
Na tukiacha kufika fainali ya CAF, Simba ndio timu pekeeya Tanzania kama sio EA kuwahi kumtupa nje ya Mshindano Bingwa Mtetezi, Zamaleikh.
We umeanza kushabikia mpira baada ya mo kuwekeza nn?Au ni ule umbumbumbu aliousema Rage
Simbarutty imefanya maajabu gani? Manake kucheza fainali CAF siyo maajabu. Maajabu ni kuchukua ubingwa siyo kuingia fainali au nusu fainali. Kujisifu kwa hilo ni u underdog ulokithiri. Eti tulimtoa zamalek so what!!!
Sasa Wagogo wa Jangwani walifikia lini kwenye fainali ya CAF au hata nusu fainali? Uchawi wa Wagogo wa Jangwani ni hapa hapa nchini ila kimataifa hawana lolote, wawaachie tu wababe wao Simba wenye mazoea.
Nitarudi kusoma ukiandika vizuri, maana umeandika kimbumbumbu sana mkuuHivi umezaliwa jana ama? Kwani ulikuwa hujuwi kuwa Simba ilifika fainali CAF mwaka 1993 na Simba ndiyo timu pekee ya hapa Tanzania ama ukanda huu wa EA iliyowahi kuwatoa mabingwa watetezi (Zamalek) kwenye kinyang'anyiro chao, ulikuwa hujuwi hili? Mo kawekeza Simba kwa sababu anajuwa ndiyo timu pekee yenye historia nzuri ya kimataifa. Nipe wasifu wa 'Wagogo wa Jangwani' (Yanga) katika mashindano ya kimataifa....usione haibu, sema wasifu wao kama hujalia hapa kwa haibu.
Hivi umezaliwa jana ama? Kwani ulikuwa hujuwi kuwa Simba ilifika fainali CAF mwaka 1993 na Simba ndiyo timu pekee ya hapa Tanzania ama ukanda huu wa EA iliyowahi kuwatoa mabingwa watetezi (Zamalek) kwenye kinyang'anyiro chao, ulikuwa hujuwi hili? Mo kawekeza Simba kwa sababu anajuwa ndiyo timu pekee yenye historia nzuri ya kimataifa. Nipe wasifu wa 'Wagogo wa Jangwani' (Yanga) katika mashindano ya kimataifa....usione haibu, sema wasifu wao kama hujalia hapa kwa haibu.