Matokeo ya Yanga vs Tukuyu Star

Matokeo ya Yanga vs Tukuyu Star

Mwenye update atujuze Yanga daima mbele nyuma mwiko.


We mpuuzi kweli, eti Yanga daima mbele nyuma mwiko....hivi umewahi kujiuliza mmefanya nini kwenye mashindano ya kimataifa hapa Afrika? Yaani toka wewe na wazazi wako mzaliwe Yanga imefanya maajabu gani katika soka hapa Afrika, kila mwaka mnakuwa jamvi la wageni mnaishia wa mwisho kwenye makundi tu na kulitia taifa haibu. Uchawi wenu ni hapa hapa Tanzania, soka la kimataifa hamliwezi hata kidogo...waachieni wababe wenu Simba. Yes, wao walifika fainali CAF mwaka 1993 kitu ambacho Yanga haitegemei kufanya hata siku moja. Makonda alikosea sana kutowakamata omba omba Yanga kipindi anasaka Wagogo/ombaomba wa mjini.
 
Back
Top Bottom