Matokeo yakiwa hivi inachukua muda gani hadi kuachiwa?

Matokeo yakiwa hivi inachukua muda gani hadi kuachiwa?

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
893
Reaction score
1,739
Mwenye kufahamu anisaidie

Screenshot_20220118-092120.jpg
 
Umeshalipa tayari? Inachukua wiki mbili au tatu kama sikosei, bila kusahau ruti za kufuatilia NECTA ila mambo yaharakishwe.
 
Umesharipa tayari? Inachukua wiki mbili au tatu kama sikosei, bila kusahau ruti za kufuatilia NECTA ila mambo yaharakishwe.
Tulilipia tangu mwaka jana na tushaongea na walimu wamesema watafuatilia ila ndo sijui lini yatatoka
 
Tulilipia tangu mwaka jana na tushaongea na walimu wamesema watafuatilia ila ndo sijui lini yatatoka
Fuatilia mwenyewe, kwa kifupi hizi taasisi za serikali bila kugonga hodi mala kwa mala utachelewa sana.
 
Back
Top Bottom