Niwap elimu hutolewa BURE Hapa Tanzania tuanzie Hapo.Ni kwanini yanashikiliwa wakati elimu ni bure?
Kwenye ilani ya CCM, au wewe unaona wivu utekelezaji wa sera hivyo?Niwap elimu hutolewa BURE Hapa Tanzania tuanzie Hapo.
Fuatilia mwenyewe, kwa kifupi hizi taasisi za serikali bila kugonga hodi mala kwa mala utachelewa sana.Tulilipia tangu mwaka jana na tushaongea na walimu wamesema watafuatilia ila ndo sijui lini yatatoka