Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Habari za mchana,naombeni mnijuze link ya kuyapata hayo matokeo mapya yaliyosahishwa niangalie tafadhali
Asanteni,kuna mdogo wangu anasema wenzie wameshayapata nimuangalizie sasa nimechek kila mahali cjayaona,nikaona niulize hapa
afu tunawalaumu necta tazama heading kisha soma na uzi husika
sasa mbona hukuuliza na badala yake umesema kua "matokeo yaliyorudiwa kusahihishwa yametoka"
kwanza hakuna mitihani iliyorudiwa kusahihishwa! napenda nikujuze km ulikua hujui,kilichofanyika ni kupanga "grades" upya na wala sio kusahihisha upya!!
aisee kabla hujapost kitu hebu hata ni PM nione kama uko sahihi au vip. kaka hiyo heading yako na ulichokipost humo ndani. havina uhusiano hata kidogo... please consult your bain before you post any thing.
bofya hapa
WEHU
Kuwa serious, heading na ulichoandika hapa havina uhusiano.
Nani kakwambia yametoka halafu mbona kichwa cha habari na hints tofauti!aliyekuambia yametoka akupe link
Usipende kukurupuka!
zinashabihiana maana nimeshasema kuna walioyapata tayari so why not nisiulizie link na mimi