Matokeo yaliyorudiwa kusahishwa yametoka

Matokeo yaliyorudiwa kusahishwa yametoka

Solarpanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
235
Reaction score
38
Habari za mchana,naombeni mnijuze link ya kuyapata hayo matokeo mapya yaliyosahishwa niangalie tafadhali
 
Nani kakwambia yametoka halafu mbona kichwa cha habari na hints tofauti!aliyekuambia yametoka akupe link
 
Asanteni,kuna mdogo wangu anasema wenzie wameshayapata nimuangalizie sasa nimechek kila mahali cjayaona,nikaona niulize hapa
 
afu tunawalaumu necta tazama heading kisha soma na uzi husika
 
aisee kabla hujapost kitu hebu hata ni PM nione kama uko sahihi au vip. kaka hiyo heading yako na ulichokipost humo ndani. havina uhusiano hata kidogo... please consult your bain before you post any thing.
 
Asanteni,kuna mdogo wangu anasema wenzie wameshayapata nimuangalizie sasa nimechek kila mahali cjayaona,nikaona niulize hapa

sasa mbona hukuuliza na badala yake umesema kua "matokeo yaliyorudiwa kusahihishwa yametoka"

kwanza hakuna mitihani iliyorudiwa kusahihishwa! napenda nikujuze km ulikua hujui,kilichofanyika ni kupanga "grades" upya na wala sio kusahihisha upya!!
 
yote ni sawa kuchange grade nako ni kusahihisha meaning correct,nisiulize nii na wakati nimeshasema kuna waliyoyapata nyie watu mbona wagumu kuelewa?
 
aisee kabla hujapost kitu hebu hata ni PM nione kama uko sahihi au vip. kaka hiyo heading yako na ulichokipost humo ndani. havina uhusiano hata kidogo... please consult your bain before you post any thing.

i dont agree with you,vina uhusiano sana vyote vinahusu matokeo,ni lugha tu,suppose yangekuwa yametoka ungeniuliza hayo yote??si kiasi tu cha kuniambia ingia link hii hapa, kisa tu hayajatoka ndo muandike hivi the answer could just be simple kuwa ni bado na hao waliyoyapata mayb ni under cover full stop,acheni hizo
 
Nani kakwambia yametoka halafu mbona kichwa cha habari na hints tofauti!aliyekuambia yametoka akupe link

nimepigiwa na mdogo wangu aliyeko shule,akaniambia niangalizie matokeo yangu tafadhali wenzangu wote wameshajua yao,na tumemrudisha darasa,kasharipoti shule.sasa mimi nimeshachek link zote hamna,nikaona ci vbaya niwaulize waungwana just kushangaa mnavojibu vby hapo kosa ni lipi?kama ni heading je yangekuwa yametoka si mngeanza kusema wewe uko wapi mpaka sasa hujajua, mfikirie sana nyie kama kweli ni great,ngoja niwatolee uvivu wanaojibug mbovu wote leo
 
Usipende kukurupuka!

kati yangu mimi na wewe nani kakurupuka,kama unajua yametoka wala usingeingia hapa,na wewe ulikurupuka pia kuingia hapa ili ujue kama kweli yametoka,acheni stress kisa watoto wetu na wadogo zetu wamefeli,inaumiza wote tufikirie cha kufanya na sio kuurupuka,mm nimepita vyanzo vyote bfor cjapost hapa so najiamini sikukurupuka,na kama niliamua kuja hapa nikwasababu najua hapa kuna watu wakila sector na wanaweza kuwa na majibu mazuri na sio kama wewe.amani sana
 
Back
Top Bottom