Matokeo yameshatoka, Karibuni kwenye mahafali.

Matokeo yameshatoka, Karibuni kwenye mahafali.

Ryan The King

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
2,788
Reaction score
2,690
Igweeee!!!

Raha ya kusoma Chuo ni kufaulu vizuri. Pamoja na Raha nyingine za Chuo lakini kufaulu ndio breki ya raha zote.

Miaka mitatu, Minne, mitano na hata Saba ya degree moja si lelemama.
Ni Jambo la kumshukuru Mungu pale unapohitimu Chuo bila kupata Sapu yoyote.

Nichukue nafasi hii kuwaalikeni katika mahafali ya arobaini na moja katika Chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM).

Pia Kwa Vyuo vingine wanaweza kuchukua fursa hii kuwakaribisha WanaJF kupitia Uzi huu.

Karibuni nyote.

Best Regards
Michaelray22.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tumejua una degree hongera
 
Hongera sana mkuu. Nimefuatilia jinsi ulivyoumba herufi, imesadifu kuwa wewe kweli ni msomi wa UDSM.

Party itakuwa wapi?
Karibu na Ahsante sana Mkuu.
Hii ni hatua ya awali kabisa. Hatua inayofuata ni kujua pahali pa nderemo na vifijo.

Mkuu, nikutoe hofu tuu. Kila kitu kitakuwa hewani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom