Matokeo yameshatoka, Karibuni kwenye mahafali.

Kusoma bila kupata sap miaka mitano, utakuwa ulisoma kozi ya mapishi au ufugaji wa nyuki

_ where ever you are remember me_
 
Hongera Mkuu.

Sasa Karibu mtaani tugangamane.

Huku hakuna Boom, ni kujipinda tu kwenda mbele. Kila LA kheri katika masomo yako mapya ya KITAA UNIVERSITY.
 
Igweeee!!!

Raha ya kusoma Chuo ni kufaulu vizuri. Pamoja na Raha nyingine za Chuo lakini kufaulu ndio breki ya raha zote.

Miaka mitatu, Minne, mitano na hata Saba ya degree moja si lelemama.
Ni Jambo la kumshukuru Mungu pale unapohitimu Chuo bila kupata Sapu yoyote.

Nichukue nafasi hii kuwaalikeni katika mahafali ya arobaini na moja katika Chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM).

Pia Kwa Vyuo vingine wanaweza kuchukua fursa hii kuwakaribisha WanaJF kupitia Uzi huu.

Karibuni nyote.

Best Regards
Michaelray22.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unishtue tupige picha apa chuo
 
Degree yako ina ukakasi, hujui hata mahafali ya udsm kwa mwaka huu ni ya ngapi...!!
Utaleta shida kwenye ajira, ama ulisomea shahada ambayo hutaajirika!
 
Igweeee!!!

Raha ya kusoma Chuo ni kufaulu vizuri. Pamoja na Raha nyingine za Chuo lakini kufaulu ndio breki ya raha zote.

Miaka mitatu, Minne, mitano na hata Saba ya degree moja si lelemama.
Ni Jambo la kumshukuru Mungu pale unapohitimu Chuo bila kupata Sapu yoyote.

Nichukue nafasi hii kuwaalikeni katika mahafali ya arobaini na moja katika Chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM).

Pia Kwa Vyuo vingine wanaweza kuchukua fursa hii kuwakaribisha WanaJF kupitia Uzi huu.

Karibuni nyote.

Best Regards
Michaelray22.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikua College gani kati ya hizi?
CoET
CoNAS
CoICT

Au ulikua huku;
CoHU
CoSS
SoED
UDSoL
UDBS
SJMC

Kama ulikua miongoni mwa wanafunzi wanaotoka kati ya college tatu za mwanzo nilizotaja hapo, hongera sana.
Kama uko kwenye college za chini hapo, hongera pia.
Karibu kitaa uishi maisha halisi, kuigiza umemaliza sasa.

sent from Sokoro nkorambokande
 
Igweeee!!!

Raha ya kusoma Chuo ni kufaulu vizuri. Pamoja na Raha nyingine za Chuo lakini kufaulu ndio breki ya raha zote.

Miaka mitatu, Minne, mitano na hata Saba ya degree moja si lelemama.
Ni Jambo la kumshukuru Mungu pale unapohitimu Chuo bila kupata Sapu yoyote.

Nichukue nafasi hii kuwaalikeni katika mahafali ya arobaini na moja katika Chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM).

Pia Kwa Vyuo vingine wanaweza kuchukua fursa hii kuwakaribisha WanaJF kupitia Uzi huu.

Karibuni nyote.

Best Regards
Michaelray22.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera comrade...!!!
 
Back
Top Bottom