Matokeo yameshatoka, Karibuni kwenye mahafali.

Matokeo yameshatoka, Karibuni kwenye mahafali.

Hongera sana mzeiyaaaaa,

usisahau kutupia tu picha kwa sisi ambao hatupo Tanganyika..
 
Hongera mzee chuon pesa inatumika kihayawan sana

Ikipiga hesabu apa umesaga karibu milion 40

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Ulikua College gani kati ya hizi?
CoET
CoNAS
CoICT

Au ulikua huku;
CoHU
CoSS
SoED
UDSoL
UDBS
SJMC

Kama ulikua miongoni mwa wanafunzi wanaotoka kati ya college tatu za mwanzo nilizotaja hapo, hongera sana.
Kama uko kwenye college za chini hapo, hongera pia.
Karibu kitaa uishi maisha halisi, kuigiza umemaliza sasa.

sent from Sokoro nkorambokande
Cohu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom