Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,690
tumejua una degree hongeraIgweeee!!!
Raha ya kusoma Chuo ni kufaulu vizuri. Pamoja na Raha nyingine za Chuo lakini kufaulu ndio breki ya raha zote.
Miaka mitatu, Minne, mitano na hata Saba ya degree moja si lelemama.
Ni Jambo la kumshukuru Mungu pale unapohitimu Chuo bila kupata Sapu yoyote.
Nichukue nafasi hii kuwaalikeni katika mahafali ya arobaini na moja katika Chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM).
Pia Kwa Vyuo vingine wanaweza kuchukua fursa hii kuwakaribisha WanaJF kupitia Uzi huu.
Karibuni nyote.
Best Regards
Michaelray22.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana Mkuu. Kila mafanikio lazima kushukuru Mungu kwani wengi walitamani nafasi hiitumejua una degree hongera
Karibu sana Mkuu. Kila mafanikio lazima kushukuru Mungu kwani wengi walitamani nafasi hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu na Ahsante sana Mkuu.Hongera sana mkuu. Nimefuatilia jinsi ulivyoumba herufi, imesadifu kuwa wewe kweli ni msomi wa UDSM.
Party itakuwa wapi?
Karibu na Ahsante sana Mkuu.
Hii ni hatua ya awali kabisa. Hatua inayofuata ni kujua pahali pa nderemo na vifijo.
Mkuu, nikutoe hofu tuu. Kila kitu kitakuwa hewani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Sana mkuu. Kila fursa ni muhimu katika hatua za maisha.Hata mimi nilitamani sana kuhitimu hapo UDSM ila scholarship ya Urusi ndo iliniharibia.
Sawa kiongozi. Kila kitu kitaenda sambamba na mapenzi ya MunguNitashukuru sana ukinitaarifu mapema nije na shemeji yako tukupongeze.
Hongera Sana mkuu. Kila fursa ni muhimu katika hatua za maisha.
Usijali mkuu. Najua umeshiba habari za Bwana Putini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana kiongozi, karibu Sana. Mungu ndiye kila kituMichaelray22@gmail.com hongeraaa mkuu,.. U deserve a celebration
Tupo kwenye hatua ya awali. Hatua inayofuata ni kutoa card itakatotoa Muongozo na maelekezo yoteSina card,..
Mungu ni Mwema
Tupo kwenye hatua ya awali. Hatua inayofuata ni kutoa card itakatotoa Muongozo na maelekezo yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa niaba ya wahitimu wa Vyuo vikuu nchini Tanzania, Niseme Ahsante na karibu Sana. PROF NDUMILAKUWILI.Hongera jembe.
-Ndumilakuwili-