OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
UDSM kuna hizo Kozi Mkuu?Kusoma bila kupata sap miaka mitano, utakuwa ulisoma kozi ya mapishi au ufugaji wa nyuki
_ where ever you are remember me_
Hahaaaa!!
Karibu kwa shahada ya PiliHata mimi nilitamani sana kuhitimu hapo UDSM ila scholarship ya Urusi ndo iliniharibia.
Mkuu unishtue tupige picha apa chuoIgweeee!!!
Raha ya kusoma Chuo ni kufaulu vizuri. Pamoja na Raha nyingine za Chuo lakini kufaulu ndio breki ya raha zote.
Miaka mitatu, Minne, mitano na hata Saba ya degree moja si lelemama.
Ni Jambo la kumshukuru Mungu pale unapohitimu Chuo bila kupata Sapu yoyote.
Nichukue nafasi hii kuwaalikeni katika mahafali ya arobaini na moja katika Chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM).
Pia Kwa Vyuo vingine wanaweza kuchukua fursa hii kuwakaribisha WanaJF kupitia Uzi huu.
Karibuni nyote.
Best Regards
Michaelray22.
Sent using Jamii Forums mobile app
Degree yako ina ukakasi, hujui hata mahafali ya udsm kwa mwaka huu ni ya ngapi...!!Igweeee!!!
Raha ya kusoma Chuo ni kufaulu vizuri. Pamoja na Raha nyingine za Chuo lakini kufaulu ndio breki ya raha zote.
Miaka mitatu, Minne, mitano na hata Saba ya degree moja si lelemama.
Ni Jambo la kumshukuru Mungu pale unapohitimu Chuo bila kupata Sapu yoyote.
Nichukue nafasi hii kuwaalikeni katika mahafali ya arobaini na moja katika Chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM).
Pia Kwa Vyuo vingine wanaweza kuchukua fursa hii kuwakaribisha WanaJF kupitia Uzi huu.
Karibuni nyote.
Best Regards
Michaelray22.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana kumbe cooking and eating development hahitaj kua na sapHahaaaa!!
Kuna kasema nimesomea mapishi mkuu. Kozi ya mapishi haina Sapu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikua College gani kati ya hizi?Igweeee!!!
Raha ya kusoma Chuo ni kufaulu vizuri. Pamoja na Raha nyingine za Chuo lakini kufaulu ndio breki ya raha zote.
Miaka mitatu, Minne, mitano na hata Saba ya degree moja si lelemama.
Ni Jambo la kumshukuru Mungu pale unapohitimu Chuo bila kupata Sapu yoyote.
Nichukue nafasi hii kuwaalikeni katika mahafali ya arobaini na moja katika Chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM).
Pia Kwa Vyuo vingine wanaweza kuchukua fursa hii kuwakaribisha WanaJF kupitia Uzi huu.
Karibuni nyote.
Best Regards
Michaelray22.
Sent using Jamii Forums mobile app
We funga weweKusoma bila kupata sap miaka mitano, utakuwa ulisoma kozi ya mapishi au ufugaji wa nyuki
_ where ever you are remember me_
Hongera comrade...!!!Igweeee!!!