HahaaaaNdio maana kumbe cooking and eating development hahitaj kua na sap
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekaa miezi miwili nimetokwa povuUkipata ajira au ukijiajiri uje utualike pia mkuu manake Mtaani mambo sio mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Cohu mkuuUlikua College gani kati ya hizi?
CoET
CoNAS
CoICT
Au ulikua huku;
CoHU
CoSS
SoED
UDSoL
UDBS
SJMC
Kama ulikua miongoni mwa wanafunzi wanaotoka kati ya college tatu za mwanzo nilizotaja hapo, hongera sana.
Kama uko kwenye college za chini hapo, hongera pia.
Karibu kitaa uishi maisha halisi, kuigiza umemaliza sasa.
sent from Sokoro nkorambokande
Ahsante sanaPongez msomi wa mlimani campus
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Nipo mbioni kuja ughaibuni mkuu. UsijalHongera sana mzeiyaaaaa,
usisahau kutupia tu picha kwa sisi ambao hatupo Tanganyika..
Hahahaaa!Hongera mzee chuon pesa inatumika kihayawan sana
Ikipiga hesabu apa umesaga karibu milion 40
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?