Matokeo yote ya Watani wa Jadi Simba na Yanga

Matokeo yote ya Watani wa Jadi Simba na Yanga

Mkuu Masuke nimeonesha ugumu wa kupata data hizi, pongezi kwa BIN ZUBEIRY kwa kutupatia hata hizi data kuanzia 1965. Sina shaka na Yanga ya kuanzia 1935, ilikuwa moto, ilipoa miaka ya 2000 kwa sababu ya Yanga Kampuni na Asili (rejea takwimu). Kama una data za kuanzia 1936 ziweke hapa nami nitaziunganisha na kuzitoa mutatis mutandis.
Mkuu huwezi kusema Yanga ni bora kuliko Simba kwa kuleta hizo takwimu tu peke yake, hebu jaribu kuleta takwimu ya makombe pia tuone ni timu gani yenye makombe mengi kwa ujumla.
 
Last edited by a moderator:
Dawa ya deni kulipa, ngoja J/pili waje kulipa.

Na historia yaonesha katika mechi walizocheza Yanga na Simba siku ya Jumapili, Yanga ameshinda mechi nyingi zaidi...au kwa lugha nyepesi Simba hana bahati na siku ya Jumapili kila anapocheza na Yanga.
 
mmmmmmmm!!!!!!!!!....sasa hizi kelele za wana wa "MSONGAMANONI"zinatoka wapi wakati tumewazidi kila idara??..hadi huruma jaman wamekuwa wapooooooooole sana.
 
mmmmmmmm!!!!!!!!!....sasa hizi kelele za wana wa "MSONGAMANONI"zinatoka wapi wakati tumewazidi kila idara??..hadi huruma jaman wamekuwa wapooooooooole sana.

Kesho tunawafanyia kitu mbaya sana. Dirisha dogo lazima watamsajili Kaseja. Hebu kumbuka jinsi Kaseja alivyokuwa akifanya kazi ya ziada kuiokoa Simba, Dhaira dhaifu ataweza?
 
Kesho tunawafanyia kitu mbaya sana. Dirisha dogo lazima watamsajili Kaseja. Hebu kumbuka jinsi Kaseja alivyokuwa akifanya kazi ya ziada kuiokoa Simba, Dhaira dhaifu ataweza?

nyie bwatukeni tu,mi kesho sita-coment kitu,ubao wa matokea utanisaidia kunyamazisha hawa Team Manji
 
kwa hiyo bado wanadeni la tano duuu...:faint2:

Juni 1, mwaka 1968 Yanga iliigaragaza Simba 5-0, mabao yake yakitiwa kimiani na Maulid Dilunga (sasa marehemu) katika dakika za 18 kwa njia ya penalti na 43, wakati mengine yalitiwa kimiani na Salehe Zimbwe dakika ya 54 na 89 kabla ya Kitwana Manara kupachika la kuhitimisha karamu ya mabao dakika ya 86.

YANGA INA DENI AU SIMBA ILILIPA DENI😄😄😄😄
 
Mkuu huwezi kusema Yanga ni bora kuliko Simba kwa kuleta hizo takwimu tu peke yake, hebu jaribu kuleta takwimu ya makombe pia tuone ni timu gani yenye makombe mengi kwa ujumla.
Yanga ina makombe 26 ya Ligi kuu na makombe 5 ya CECAFA jumla 31.

Simba ina makombe 18 ya Ligi kuu na 6 ya CECAFA jumla 24.

Simba inadaiwa makombe 31-24 = 7.

Makombe ya mchangani kama Tusker, Mapinduzi, Ndondo n.k. sisi Wananchi hatuhusiki nayo.😉😉😉🙁😉
 
Ligi kuu ya muungano ...FAT hamhusiki nayo???
 
Yanga ina makombe 26 ya Ligi kuu na makombe 5 ya CECAFA jumla 31.

Simba ina makombe 18 ya Ligi kuu na 6 ya CECAFA jumla 24.

Simba inadaiwa makombe 31-24 = 7.

Makombe ya mchangani kama Tusker, Mapinduzi, Ndondo n.k. sisi Wananchi hatuhusiki nayo.😉😉😉🙁😉
Mtani jembe huwezi kuisema maana ni kipigo tu..
Tusker cup
Super 8
Hedex cup
Ligi ya muungano
FAT..FA
Nyerere cup
 
Leo Wamatopeni wanapakatwa mapema tuu, Gooooooooooooooooooooooool Donald Ndombo Ngoma anaiandikia Yanga wa Kimataifa goal la pili ilikuwa ni ile formation ya kampa kampa tena kutoka kwa Kamusoko na Niyonzima.
 
Back
Top Bottom