Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Dawa ya deni kulipa, ngoja J/pili waje kulipa.Duh.!!
Kumbe Simba Ana madeni kibao kwenye timu ya wananchi, ngoja jumapili tuongeze deni lingine.!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ya deni kulipa, ngoja J/pili waje kulipa.Duh.!!
Kumbe Simba Ana madeni kibao kwenye timu ya wananchi, ngoja jumapili tuongeze deni lingine.!!
Mkuu huwezi kusema Yanga ni bora kuliko Simba kwa kuleta hizo takwimu tu peke yake, hebu jaribu kuleta takwimu ya makombe pia tuone ni timu gani yenye makombe mengi kwa ujumla.Mkuu Masuke nimeonesha ugumu wa kupata data hizi, pongezi kwa BIN ZUBEIRY kwa kutupatia hata hizi data kuanzia 1965. Sina shaka na Yanga ya kuanzia 1935, ilikuwa moto, ilipoa miaka ya 2000 kwa sababu ya Yanga Kampuni na Asili (rejea takwimu). Kama una data za kuanzia 1936 ziweke hapa nami nitaziunganisha na kuzitoa mutatis mutandis.
Dawa ya deni kulipa, ngoja J/pili waje kulipa.
mmmmmmmm!!!!!!!!!....sasa hizi kelele za wana wa "MSONGAMANONI"zinatoka wapi wakati tumewazidi kila idara??..hadi huruma jaman wamekuwa wapooooooooole sana.
Kesho tunawafanyia kitu mbaya sana. Dirisha dogo lazima watamsajili Kaseja. Hebu kumbuka jinsi Kaseja alivyokuwa akifanya kazi ya ziada kuiokoa Simba, Dhaira dhaifu ataweza?
kwa hiyo bado wanadeni la tano duuu...:faint2:
Jiwe hili sijui karushiwa nani?
TOTALS WINS DRAWS LOST GAMES
Young Africans 45 34 40 119
Simba SC 40 34 45 119
Hizi takwimu hadi mechi ya juzi February 20, 2016.
Yanga ina makombe 26 ya Ligi kuu na makombe 5 ya CECAFA jumla 31.Mkuu huwezi kusema Yanga ni bora kuliko Simba kwa kuleta hizo takwimu tu peke yake, hebu jaribu kuleta takwimu ya makombe pia tuone ni timu gani yenye makombe mengi kwa ujumla.
Ligi kuu ya muungano ...FAT hamhusiki nayo???Yanga ina makombe 26 ya Ligi kuu na makombe 5 ya CECAFA jumla 31.
Simba ina makombe 18 ya Ligi kuu na 6 ya CECAFA jumla 24.
Simba inadaiwa makombe 31-24 = 7.
Makombe ya mchangani kama Tusker, Mapinduzi, Ndondo n.k. sisi Wananchi hatuhusiki nayo.😉😉😉🙁😉
Mtani jembe huwezi kuisema maana ni kipigo tu..Yanga ina makombe 26 ya Ligi kuu na makombe 5 ya CECAFA jumla 31.
Simba ina makombe 18 ya Ligi kuu na 6 ya CECAFA jumla 24.
Simba inadaiwa makombe 31-24 = 7.
Makombe ya mchangani kama Tusker, Mapinduzi, Ndondo n.k. sisi Wananchi hatuhusiki nayo.😉😉😉🙁😉