muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,557
- 6,128
Kwa Ninachokiona hapa Mbowe hawezi kushinda kihalali kamwe,
Na akishindwa kwa njia ya Kura atakua amedhalilika na ametoka kwa aibu ya kukataliwa na wanachama, na endapo atalazimisha ushindi wa bao la mkono au vyovyote vile basi Chama kitapoteza ushawishi sana kwa wananchi na wanachama wa kawaida ambao wanamtaka Lissu na Heche,
So nini kifanyike?
Kama mbowe nahitaji kulinda brand yake na kulinda chama ni heri ajitoe kwenye kinyang'anyilo, ni bora agombee lisu na mtu mwingine
Mbowe akae pembeni atabaki na heshima yake na atabaki kuwa mshauri na mjumbe wa kamati kuu ya chama milele,
Uchaguzi wa mwaka huu sio sawa na chaguzi zilizopota saivi watu wameamka
Mpaka sasa wajumbe wa mikoa karibia saba wametamka hadharani kumuunga mkono lissu
Waliotamka hadaharani kumuunga mkono mbowe ni Ntobi na yericko nyerere
Mzee wangu mbowe jiulize kwanini nyerere anaheshimika mpaka leo lakini mugabe anadharauliwa!