Labda yupo kwenye matazamio baadaye awe Kocha Mkuu wa Simba.Yaani miaka yote hio kwenye senior timu bado anarudishwa kufundisha watoto? hizi ni dharau
Kwahivyo ulitaka atolewe Mgunda na Robertino halafu apewe Senior Timu kama kocha Mkuu?Yaani miaka yote hio kwenye senior timu bado anarudishwa kufundisha watoto? hizi ni dharau
Kama hawawezi kumpa timu bora aondoke, huwezi kuwa assistant coach almost miaka 5 timu ya ligi kuu then unarudishwa kufundisha watoto, atakua lini? hao watoto ligi yao ipo wapi ? Kumbuka Matola kasha wahi kua kocha mkuu LipuliKwahivyo ulitaka atolewe Mgunda na Robertino halafu apewe Senior Timu kama kocha Mkuu?
Nyie mna jema kutoka wapi bhana.!
Cedric Kaze alipokuja Yanga mara ya kwanza alikuwa Kocha Mkuu, na hii mara ya pili ni Kocha Msaidizi..Je naye ni bora aondoke..?!Kama hawawezi kumpa timu bora aondoke, huwezi kuwa assistant coach almost miaka 5 timu ya ligi kuu then unarudishwa kufundisha watoto, atakua lini? hao watoto ligi yao ipo wapi ? Kumbuka Matola kasha wahi kua kocha mkuu Lipuli
Sio msaidizi tu kwenye youth na feminine ana position tena technicalCedric Kaze alipokuja Yanga mara ya kwanza alikuwa Kocha Mkuu, na hii mara ya pili ni Kocha Msaidizi..Je naye ni bora aondoke..?!
Yeye ndio alizalisha kina Ajib,Kapombe,Ndemla,Tshabalala n.k nadhani hili eneo la vijana analiwezea vyema kabisaAende kuzalisha kina Mzize wengine
Kwamba team za watoto hazihitaji wataalamu?Yaani miaka yote hio kwenye senior timu bado anarudishwa kufundisha watoto? hizi ni dharau
Aondoke aende wapi?Kama hawawezi kumpa timu bora aondoke, huwezi kuwa assistant coach almost miaka 5 timu ya ligi kuu then unarudishwa kufundisha watoto, atakua lini? hao watoto ligi yao ipo wapi ? Kumbuka Matola kasha wahi kua kocha mkuu Lipuli