May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Binafsi sijaridhishwa na ile perfomance...hebu tutofautishe matokeo na perfomance.
Ingawa matokeo ndio muhimu lakini Wacheza wengi wapo chini ya kiwango, wamelegea na uzembe ni mwingi sana.
Wamekosa magoli ya wazi, wanapoteza pasi hovyo...baadhi yao wana maamuzi mazito au ya chini ya kiwango...haswa eneo la baki...mfano kuna yule sikupata alikuwa nani, alishindwa kuamua apige mpira golini, atoe pasi au apige chenga mpaka golini...matokeo yake mpira wakapoteza.
Hivi kwa mpira ule timu makini si ilikuwa droo, na ni kwa kuwa Beno kafanya saves kadhaa za hatari?.
Alafu napenda timu inayocheza kwa haraka, bado naona kuna kujivuta sana...haswa Beno mpira ukitoka au akidaka atazubaa sana kabla ya kuanzisha.