Matola anatosha

Matola anatosha

Binafsi sijaridhishwa na ile perfomance...hebu tutofautishe matokeo na perfomance.

Ingawa matokeo ndio muhimu lakini Wacheza wengi wapo chini ya kiwango, wamelegea na uzembe ni mwingi sana.

Wamekosa magoli ya wazi, wanapoteza pasi hovyo...baadhi yao wana maamuzi mazito au ya chini ya kiwango...haswa eneo la baki...mfano kuna yule sikupata alikuwa nani, alishindwa kuamua apige mpira golini, atoe pasi au apige chenga mpaka golini...matokeo yake mpira wakapoteza.

Hivi kwa mpira ule timu makini si ilikuwa droo, na ni kwa kuwa Beno kafanya saves kadhaa za hatari?.

Alafu napenda timu inayocheza kwa haraka, bado naona kuna kujivuta sana...haswa Beno mpira ukitoka au akidaka atazubaa sana kabla ya kuanzisha.
 
matola hana vigezo vya kukaa bench kwenye mechi za caf
Akamilishe vigezo haraka. Halafu apewe Timu ya Simba. Matola, Mkwasa na Julio Alberto Tarantini Pereira nawakubali sana linapokuja suala la Makocha wa Ndani ya nchi.
 
Haya mambo ya kupigia debe watu kisa wazawa yalitufanya tupate kipigo cha aibu Afrika.
Juzi aliyekuwa kocha was All ahly, Ibenge na kocha was Senegal ni miongoni mwao makocha waliohubdhuria kozi ya juu Morocco makocha wenu was vikozi vya kuungaunga mnataka wafundishe Simba
 
Wana msimbazi bila shaka tumeona pira biriani likisakatwa leo ndani ya dimba la Mkapa. Tumeona bonge la performance kutoka kwa wachezaji wa Simba leo na wamejituma kwa hali ya juu.

Hivyo haina haja ya kutafuta kocha wa kigeni bali tumpe tu timu Matola, ataifikisha mbali kwenye ligi na kimataifa. Kuna usemi unasema mchawi mpe mtoto wako akulelee.
Matola bado Sana, kumanage international players inahitaji uwezo mkubwa ambao matola Hana, (Kama anataka akasome zaidi, ajifunze na lugha) siongei kwa kumdharau Ila kwa viwango ambavyo Simba inaelekea kumpa timu matola ni kujitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Well navyojua mie ni kwamba mwafrica lazima awe na caf A licence wakati kocha wa kutoka ulaya awe na uefa pro licence maana kwao hiyo ndio highest qualification.

Lengo la càf ni kwamba makocha wote wa ligi kuu za nchi lazima wawe na A licence ili kjufundisha timu.
Matola bado Sana Kaka, anahitaji Sana elimu na exposure,
 
Elimu sii ndio kama hivyo ameshapata lese i B sasa ni kuitafuta leseni A. Hili la elimu nakubaliana nawe maana elimu haina mwisho

Exposure gani unataka aipate tena mzeya wakati kama champions league kashaona vinvyohitajika huko. Tuwape fursa wazawa na kuwawezesha pia.
 
Binafsi sijaridhishwa na ile perfomance...hebu tutofautishe matokeo na perfomance.

Ingawa matokeo ndio muhimu lakini Wacheza wengi wapo chini ya kiwango, wamelegea na uzembe ni mwingi sana.

Wamekosa magoli ya wazi, wanapoteza pasi hovyo...baadhi yao wana maamuzi mazito au ya chini ya kiwango...haswa eneo la baki...mfano kuna yule sikupata alikuwa nani, alishindwa kuamua apige mpira golini, atoe pasi au apige chenga mpaka golini...matokeo yake mpira wakapoteza.

Hivi kwa mpira ule timu makini si ilikuwa droo, na ni kwa kuwa Beno kafanya saves kadhaa za hatari?.

Alafu napenda timu inayocheza kwa haraka, bado naona kuna kujivuta sana...haswa Beno mpira ukitoka au akidaka atazubaa sana kabla ya kuanzisha.
Sasa mbona aya ndio matatzo ya simba msimu mzima ,rudia mechi ya gender wale wa niger
 
Mleta mada ni kada wa utopolo pmja na wanaomsapoti kwenye uzi huu ni utopolo wenzake, matola bado ajakidhi viwango kua kocha mkuu wa simba
 
Matola hatoshi na Hana sifa.
Najua Kuna machawa wake hapa jukwaan Ila mwambien ukweli kuwa hatoshi na Hana vigezo vya kuinoa Simba.

Na hata angekua na vigezo bado Ana uswahili mwingi Sana timu inahitaji watu smart upstairs sio kocha unakua na janjajanja za kula 10percent za wachezaji wako hapo lazima uipasue tu timu.

Matola tunamjua nje ndani Ana wachezaji wake hapo Simba na anawapambania balaa ,bahat mbaya umri umewatupa mkono na saiz anapambana apate wengine wa kula hizo 10 percent Sasa kwa uswahili km huu hawez kuifikisha timu popote pale maana anaendekeza ushkaji kwenye Mambo serious
 
Unaona ushindi mechi mbili magoli 2+ na ushindi mnono. Tumwamini tumpe timu, tusiwe na mawazo ya ngozi nyeupe tu. Kuhusu kutokuwa na sifa hilo halina shida tutamuongeza kocha mmoja wa geresha kama alivyokuwa Hitimana
 
Mashindano ya kimataifa team inashinda kwa mbinu na sio kucheza sana mpira na ndio unaona Madrid kipindi inachuku UEFA Barcelona walichukua league miaka 7 mfulilizo matola hana game plan na tactics ambazo zinatakiwa mechi za kimataifa hzo mbinu alikuwa nazo sven na paulo ganzalenzi kwa pale simba sc kwa siku za karibuni.
 
Elimu sii ndio kama hivyo ameshapata lese i B sasa ni kuitafuta leseni A. Hili la elimu nakubaliana nawe maana elimu haina mwisho

Exposure gani unataka aipate tena mzeya wakati kama champions league kashaona vinvyohitajika huko. Tuwape fursa wazawa na kuwawezesha pia.
Tukimpa kazi tutamtimua hata kabla ya msimu kuisha, Bora abaki hapo alipo tuendelee kuwa nae.
 
Wana msimbazi bila shaka tumeona pira biriani likisakatwa leo ndani ya dimba la Mkapa. Tumeona bonge la performance kutoka kwa wachezaji wa Simba leo na wamejituma kwa hali ya juu.

Hivyo haina haja ya kutafuta kocha wa kigeni bali tumpe tu timu Matola, ataifikisha mbali kwenye ligi na kimataifa. Kuna usemi unasema mchawi mpe mtoto wako akulelee.
Nakubaliana na wewe,
Matola anatosha kabisa, but kwa mechi za ligi zilizobakia.

Timu ina mechi na Al Ahly kumbe la CAF Matola hatoshi hata robo.
 
Back
Top Bottom