Matonya aliamsha dude ni kuhusu wimbo wa zilipendwa

wasanii wa bongo wanaendelea kuniaminisha kuwa kwa sasa ukitaka kuwa kwenye chati ni lazima ugombane na diamond bila hvyo hata wimbo wako hautakuwa mkubwa matonya hafanani chochote na diamond kwa hizo nyimbo.....diamond anatajiwa vitu vya zamani vilivyo vuma anawajibu kuwa kwa sasa hizo zilipendwa zimebaki story lakini matonya anataja vitu vya sasa ambavyo ni vibaya na kusema zilipendwa (ishara ya kuvi dharau) so ni vitu viwili tofauti kabisa kabisa kabisa sasa wasitake kumtumia diamond kama ngazi ndio maana jamaa anapata bless nyingi kila leo......hii idea akina diamond waliipresent wakati wa birthday ya salaam ni idea moja nzuri sana na kubwa sanaaa sitaacha kuwapenda WCB Nakuwa support....nimependa harmonize alivyo igiza
 
Matonya keshasema hahaha sasa nyie endeleeni!

brain is the beautiful part of the body.
 
Hahaa si ndo hapo nimeshangaa kutumia neno zilipendwa ndo wamshirikishe? What nonsense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila mtu anatafuta pakutokea kuibiwa nini sasa[emoji38] [emoji38] sasa Badala yakwenda basata, cosota anaenda IG kureport?
apambane na hali yake
 
Twende mahakamani baba wale wasafiria nyota lazima watulipe chetu
 
Habari za jumapili wakuu , kwa povu hilo VP matonya yuko sawa?? Kama ni kweli wameiba idea ya matonya Hawa watu wataishia pabaya aisee


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…