rymond Gabriel
Senior Member
- Sep 3, 2016
- 164
- 82
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaHasa ikiingia kichwani
Ndio hapo sasa...aende Ili a one na ajueMi naona kesi iiende mahakamani tuone kama atashinda. Na itakuwa ni fundisho kwa vilaza
"ukijijua mchochezi...andaa mkojo"
Hivi kuna nyimbo ngapi duniani zinaitwa I LOVE YOU au Nakupenda ?Mbona yy kacopy jina la yule ombaomba ..........
Matonya keshasema hahaha sasa nyie endeleeni!"Maswala ya zilipendwa zilishaimbwa na matonya"
Hii sentensi yako ina ukakasi mahali...ina maana mtu akiimba maswala ya upinzani/kilimo/kufumaniwa haruhusiwi msanii mwingine kuja kuimba masuala hayo hayo yalioimbwa na waliopita?
Nikieleweshwa nitashukuru.
Hahaa si ndo hapo nimeshangaa kutumia neno zilipendwa ndo wamshirikishe? What nonsenseSasa amekupiwa nini kwenye huo wimbo? Yeye ni mmiliki wa neno Zilipendwa?
Unajua hawa wasanii walivyosikia kuwa AY na FA wamepiga hela kupitia Tigo basi wanafikiri ni rahisi tuu basi unapewa hela...Sijaona ni wapi WCB wamekopi kutoka kwa Matonya zaidi ya kufanana kwa jina la wimbo maana melody,beat,maneno na kila kitu ni tofauti kabisa...
Sasa ana fananisha na swala la saida wakati kwa saida ni kweli walikopi kila kitu tofauti na yake ambayo ina tofauti...
Matonya mjini hakuna hela ya bure utasaga meno.
Mbona yy kacopy jina la yule ombaomba ..........