Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
iwe ni video kweli...kama ni hali halisi alilewa afu suruali ipo hivo mmh watu hawashindwi kumtelezea
..... mmh watu hawashindwi kumtelezea...! Sabato njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
iwe ni video kweli...kama ni hali halisi alilewa afu suruali ipo hivo mmh watu hawashindwi kumtelezea
napenda wimbo wake wa unanimaliza...
..... mmh watu hawashindwi kumtelezea...! Sabato njema
Huyo matonya naye mbna povu hvyo.. Sasa amedhalilishwaje wakat ni video yake mpya.. Badala ya kushukuru kupigiwa promo ahahah
Mbona kapaniki kama picha ni video mpya.. tunasubiri tuione tu
Huyo Jide pia anatafuta kick tu nae kapoteza mvuto nae. Akitaka aolewe na Matonya kama vipi wataendana.
SAsa kama ni picha ya kwenye video mpya anawasiwasi gani ? Acha tumdharau tutaprove badae tutakapoona video!
hahaaa itambidi hata ka alikuwa hana mpango a shoot video kwa lazima laa sivyoo
Mbona kapaniki kama picha ni video mpya.. tunasubiri tuione tu
Hahahaha kwa hiyo Jide ana tafuta ndoa?
Nime_like tu sababu .....
Lazy mate