Matonya amvaa Lady Jaydee, kisa picha ya udhalilishaji

Matonya amvaa Lady Jaydee, kisa picha ya udhalilishaji

Huna haja y kulalama blo kama ni ngoma inapikwa, c itadondoka kitaa watu wataprov, cha mcngi nikujiuliz kama picture imavuj vip kuhuc mzigo?
 
Labda aseme imefanyiwa photoshop lakini kama ni halisi na iko kwenye video hana haja ya Kupanic
 
Huyo matonya naye mbna povu hvyo.. Sasa amedhalilishwaje wakat ni video yake mpya.. Badala ya kushukuru kupigiwa promo ahahah
 
Wasanii na sanaa zao....juzi yule mkongo wa ngwasuma naye alitawanya picha za kuvimba uso...baadae akaja na mkwala mbuzi "nitamufunga mutu mimi"..... kama tu huu wa Matonya.
 
kwa mtu ambae hamjui tonya atashaanga.ila tunaomfaham hata hatumshangai .hivo ndivo alivo na hayo ndio maisha yake
 
hahaaa itambidi hata ka alikuwa hana mpango a shoot video kwa lazima laa sivyoo

aisee ndo kilichobaki sasa.. tena kwenye video alale hivyo hivyo kama kwenye picha alivolalia tope ndo tutaamini.. la sivyo...
 
Back
Top Bottom