Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mgombea ubunge viti maalumu kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Mkoa wa Singida Asharose Mattembe amesema katika Mkoa wa Singida kura za mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan zitajaa na kumwagika kwa mambo makubwa aliyoyafanya.
Amesema hayo leo Septemba 9, 2025 kwenye kampeni za CCM mkoani Singida.
Mattembe amesema Samia ametoa miradi mingi ya nishati safi iliyowasaidia wanawake wengi kupika kwenye majiko ya gesi kwa sababu ya hamasa yake.
"Umetupa ruzuku ya pembejeo tunakushukuru sana, wanawake wanalima bila ya 'stress' ninakuhakikishia tutakupa ushindi wa kishindo na Singida itaongoza kwa sababu ina mwenyekiti makini,"amesema Mattembe.