Matukio Halisi Yanayothibitisha Uchawi – Utashangaa!

Unachotaka kufanya wewe ni kuondoa uhuru wa imani au kuamini ambao ni haki iliyo kisheria, imani potofu zinapingwa na watu wanaelimishwa hivyo usitake kuondoa uhuru wa imani kisa kuna baadhi ya imani ni potofu dawa ni kuelimisha watu sio kuwafanya kuwa atheists hiyo haitosaidia kutokuwa na imani potofu au kutotenda uhalifu.

Kila siku tunasikia matukio ya kinyama watu hufanya kwa sababu za kisiasa au unakuta kisa ni wivu tu wa mapenzi, watu wanaacha kufanya kazi na kukesha kubeti n.k hivyo mtu anaweza kufanya lolote kwa kutumia lolote.
Umetumia kigezo gani kuona imani zingine ni POTOFU na imani zingine ni SAHIHI?

Imani ni Imani..... usiweke double standard mkuu

Kwa muktadha wa hoja yako ni kwamba kumzuia mmasai asiuwe mtoto wake kilema ni kumuingilia uhuru wake wa kuamini?
 
Labda nikuulize, hoja yako ya msingi ni ipi hapa katika haya majadiliano?
 
IMANI za Mungu, shetani, malaika uchawi nk ni HADITHI za kusadikika
Hazina UTHIBITISHO wowote ule wa uwepo wake

Na ndio maana unaona IMANI za wengine ni POTOFU ila zako ndio SAHIHI
Na wenzako wanaona imani yako potofu zao ndio sahihi
 
Upotofu si kwa imani bali hata wewe unaweza ukawa na mitazamo potofu.
Hata agnostic anaona mtazamo wake ni sahihi na mtazamo wa atheist kudai hakuna Mungu sio sahihi.
 
Mkuu kuzunguka kote huku ni kwsababu tu HUWEZI kuthibitisha hadithi za kusadikika...... Period

Dunia ya sasa haitaki blah blah........ THIBITISHA
Huwezi basi baki na hekaya zako
 
Ni uelewa wako mdogo tu kuhusu uthibitisho, ngoja nikupe mfano, kabla sayansi haijathibitisha faida za kiafya kwa kufanya mazoezi ya yoga na meditation watu walikuwa wakifaidika na hayo mazoezi walifanya na wakajithibitishia kwa hizo faida toka karne hizo ambako hakukuwa na uthibitisho wa kisayansi.

Na hivyo ndio dunia ilivyo.
 
Kwahiyo kwa uelewa wako mkubwa hapo ndio umethibitisha uchawi upo?
 
Neno "thibitisha" linatumika kama vile kasuku anavyorudia kutamka neno ambalo hajui maana yake, wewe hapo sijui hata kama unajua huo uthibitisho wa uchawi unatakiwa uwe vp hadi uukubali kuwa huu kweli ni uthibitisho wa uchawi.

Wengi hata hamuelewi kati ya kuwepo kitu na kutokuwepo uthibitisho wa hicho kitu, hata hamuelewi uthibitisho una nafasi gani huwa mnafikiri uthibitisho ndio hufanya jambo kuwepo na kutokuwepo kwa uthibitisho basi hilo jambo halipo kabisa.
 
Kwahiyo hizi blah blah zako za kupinga uthibitisho ndio uthibitisho wenyewe kwamba uchawi upo mkuu

Iwapo utadai kuna kitu fulani kipo maana yake ni kwamba una UTHIBITISHO kipo ndio maana ukasema kipo

Uzuri ni kwamba wala hujabanwa namna unayo ona wewe ina faa kuthibitisha..... wewe thibitisha kwa namna unayoona ina faa hata usipotumia neno thibitisha

So kwakuwa neno uthibitisho linakupa tabu basi fanya namna yoyote unayoijua ili na sisi wengine tujue uchawi upo mkuu
 
Kwa kwa umetaka na wewe kujua kama uchawi upo basi nianze kwa kukuuliza hivi wewe unaelewa uchawi ni nini na kwanini unasema hakuna huo uchawi?
 
Back
Top Bottom