mudytawaleni1802
New Member
- May 17, 2025
- 4
- 3
Mabinti wawili walikua wanapiga story ndani ya daladala:
Binti 1: je ungependa mume wa aina gani ?
Binti 2: Awe bilionea ..! 🙄
Binti 1: Je ukimkosa ? 🤔
Binti 2: Awe milionea ..! 🙄
Binti 1: Je asipopatikana ? 🤔
Binti 2: Awe japo na laki tano ..! 🙄
Ghafla mvuta bangi mmoja akiwa kajilaza siti ya nyuma akamwambia jirani yake: "Wakifika kwenye buku niamshe" ...🤣🤣🤣🤣
Imeandikwa na mudytawaleni1802
#@tiaso_dsm