Matukio katika jamii zetu, Mabinti wawili wakipiga story ndani ya daladala

mudytawaleni1802

New Member
Joined
May 17, 2025
Posts
4
Reaction score
3
Mabinti wawili walikua wanapiga story ndani ya daladala:

Binti 1: je ungependa mume wa aina gani ?

Binti 2: Awe bilionea ..! πŸ™„

Binti 1: Je ukimkosa ? πŸ€”

Binti 2: Awe milionea ..! πŸ™„

Binti 1: Je asipopatikana ? πŸ€”

Binti 2: Awe japo na laki tano ..! πŸ™„

Ghafla mvuta bangi mmoja akiwa kajilaza siti ya nyuma akamwambia jirani yake: "Wakifika kwenye buku niamshe" ...🀣🀣🀣🀣

Imeandikwa na mudytawaleni1802
#@tiaso_dsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…