Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

Kwa nini wewe kijana ukubali kutumiwa? Je wewe unayekubali kutumiwa unafanya CBA???
Kumbuka, atakayeteseka ni wewe unayekubali kutumiwa pamoja na familia yako..... Wakati huo wanakutumia watakuwa Ubelgiji .....

Acha hixo propaganda za Lumumba street! Una maana gani kutumiwa? Hii ni nchi yenye mfumo wa Multipartism Kwanini KIJANA anaye support Chama pinzani ndo aonekana anatumiwa lakini aliyeko CCM aonekana hatumiwi? Acha akili za matope brother. Watz siyo wajinga! They know each and everything WHAT CCM is doing to harrass opposition parties in both Tanzania Mainland and Tanzania Island!!!
 
Mtasema mpaka MAPOVU yatoke, lakini huo ndio utaratibu na hayo ya USA na hizo data ni zao na hayo ni ya kwao. Sisi tunaendela na kutekeleza maamuzi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar!
 
Kwa nini wewe kijana ukubali kutumiwa? Je wewe unayekubali kutumiwa unafanya CBA???
Kumbuka, atakayeteseka ni wewe unayekubali kutumiwa pamoja na familia yako..... Wakati huo wanakutumia watakuwa Ubelgiji .....
Hongera kwako wewe unaetumiwa na wafalme kwa kuwamiminia risasi raia..

Hongera sana kwako wewe hutokufa kamwe!
 
Baada ya kuuwa watu hivi, uchaguzi na wizi ukimalizika wanamkaribisha seifu ili waunde 'serikali ya umoja' kwa kweli akikubali na yeye tunamweka kwenye kundi la wauaji
 
Hongera kwako wewe unaetumiwa na wafalme kwa kuwamiminia risasi raia..

Hongera sana kwako wewe hutokufa kamwe!

Kwa Maulana sote tutarejea. Kila nafsi itaonja umauti. Hakuna ataishi milele hapa duniani. Basi ni Bora ufe pasipo DHAMBI YA MAUAJI ukakutane na Muumba wako kuliko kufa ukiwa na DHAMBI YA KUUA NA KUTESA BINADAMU WENZIO. Adhabu yake Ni MOTO WA JEHANAMU!!!
 
Kuna watu ni wajinga, hata kusingekuwa na askari bado wangeleta ujinga.
Hivyo wacha wapate haki yao, mimi ni upinzani mbona sibughuziwi?
Lkn sio kuuwa watu, kumwagwa damu za watu uchochea hasira na kuamsha umma ambayo itakuwa ni Vita kubwa Sana Kati ya Askari na raia ambayo Askari awatoimudu.Askari wasikanyage fyuzi ni vyema wawaache wanasiasa wanyukane wenyewe.
 
Huwezi kuwa timamu na ukaongea hivi
 
Kuna watu ni wajinga, hata kusingekuwa na askari bado wangeleta ujinga.
Hivyo wacha wapate haki yao, mimi ni upinzani mbona sibughuziwi?

Wewe utakuwa ni MPINZANI fake......!! Nyie ndo kesho unahamia mtaa wa Mafisi ya Lumumba kwa lugha za kinafiki,"KUUNGA MKONO JUHUDI ZA JIWE"
 
Lkn sio kuuwa watu, kumwagwa damu za watu uchochea hasira na kuamsha umma ambayo itakuwa ni Vita kubwa Sana Kati ya Askari na raia ambayo Askari awatoimudu.Askari wasikanyage fyuzi ni vyema wawaache wanasiasa wanyukane wenyewe.

Swali ni: KWANINI HAWA MAPOLISI WA CCM WANATUNIA SILAHA ZA MOTO??
MABOMU YA MACHOZI NA MAJI YA KUWASHA SIKU HIZI IT HAWANA?
 
Swali ni: KWANINI HAWA MAPOLISI WA CCM WANATUNIA SILAHA ZA MOTO??
MABOMU YA MACHOZI NA MAJI YA KUWASHA SIKU HIZI IT HAWANA?
Hofu ya ndugu yao ccm kushindwa mabosi zao wengi watakosa shibe, kumbuka mabosi zao ndio wanufaika Hawa wa chini ni watii amri ili wasifukuzwe kazi
 
tusifike mahala tukamwaga damu kwani damu za watu ni laaana mbaya.tusitafute uongozi kwa kumwaga damu za watu.
tumuombe Mungu atuvushe salama ktk uchaguzi huu
 
Hao raia wa zenj wanawarushia mawe askari, unategemea nini?
Acha wapate wanachostahili
Lkn sio kuuwa watu, kumwagwa damu za watu uchochea hasira na kuamsha umma ambayo itakuwa ni Vita kubwa Sana Kati ya Askari na raia ambayo Askari awatoimudu.Askari wasikanyage fyuzi ni vyema wawaache wanasiasa wanyukane wenyewe.
 
Hongera kwako wewe unaetumiwa na wafalme kwa kuwamiminia risasi raia..

Hongera sana kwako wewe hutokufa kamwe!
Kijana tumia akili yako ikupasavyo!
Maisha ni ya kwako mwenyewe, sio ya chama
Hata huyu unayempambania akishinda usidhani kuwa mambo yako yatabadilika
Na utakapoumizwa usidhani ya kuwa atakupambania
Tumia akili, achana na hizo mob pschology za kitoto
 
Acha upumbavu wewe, unaakili ya kizamani sana na ya kinafki.

Sipo kwaajili ya kutegemea Ufadhili wa Teuzi kutoka popote, Hilo ulielewe.

NITAPINGA KWA NGUVU ZOTE UDHALILISHAJI WA RAIA KWA MASLAHI YA KIKUNDI CHA WATU WACHACHE WENYE UCHU WA MADARAKA KAMA WEWE
 
Usijidanganye, Zanzibar haiwezi kuendelea kwa itikadi walizonazo...ondoa huu ujinga kichwani mwako. Watu hawataki kusoma eti wanaona ujiko kukariri Qur'an ila kusoma lugha yao hawajuwi. Nani atakuajiri kwa kukariri Qur'an tu? Vijana kazi hawataki kufanya eti wanataka kuwa mashoga na kubebab mizigo ya watalii ufukweni, si upuuzi huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…