Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Kuna mahali kama Taifa tunapatamani kweli kufika, ila tunaenda vizuri sana, tutapafika tu! Dola na uongozi kazaneni tumekaribia kupafika, ni juhudi kidogo tu zinatakiwa mwishoni hapa.
Ulaya wao walifika baada ya watawala na watawaliwa kudundana kweli kweli yaani waliuwana Sana na mshindi akupatikana thus wakakaa chini wakaja na mfumo sahihi wa demokrasia.Leo Wana heshimiana Sana na kuogopana Kati ya watawala na watawaliwa kila mmoja usimama mahali pake bila kuoneana