Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

Gaza. Halafu Beberu akiongea mnasema hamtaki kuingiliwa, na mtaingiliwa tu?
 
Tuwe wakweli kabisa hasira za wanajeshi kushusha kipigo cha kikatili hivi wala siyo kwa sababu ya matusi bali ni hasira za kutopandishwa mishahara kwa miaka mitano na kisha kuamrishwa kuhakikisha jitu hilo hilo tusilolipenda wote linashinda tena . 😡😡😡
 
Nadhani kuna watu kama seif kuendelea kuishi hapa duniani ni hasara kubwa sana.
Usihukumu watu nawe ukaja kuhukumiwa. Seif hana dola, hana silaha kwa kuwa ni muwakilishi wa watu wasiyokubaliana na utawala atendewe uovu?
 
Ghasia zote hizi mnategemea hii misukule inayoitwa polisi. Shithole police force. Shithole country. Lakini mjue tumo mbioni na sisi kutafuta silaha. Siku yenu haipo mbali.
Nimempa tahadhari ndugu imhotep apige kura alafu arudi nyumbani, maana anaweza kuvunjwa kiuno kwa kusikiliza wapuuzi kama wewe.
 
kumbe tatizo ZEC haijatoa takwimu za wapiga kura wa awali!! kwa nini imefanya hivyo?!
ahh ! ZEC hebu rekebisheni hiyo kasoro bwana hatutaki machafuko huko zenji, jambo dogo tu hilo
 
Mimi nakueleza siku yenu haipo mbali. Kitaya ni mwanzo tu. Sisi tutakiwasha Dar na Dodoma asubuhi kweupe. Wekeni magari yenu ya kuzima moto tayari tayari. Chimbeni makaburi ya akiba kwa wingi.
Naona mmeanza kuwa wehu.
 
Mzee Mwinyi ulishapata urais wa Zanzibar na wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwanao amekuwa mbunge na waziri kwa miaka mingi.

Leo hii majeshi yanaua watu Zanzibar ili mtawale. Mnataka nini ninyi kizazi cha nyoka?
 
Back
Top Bottom