Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Hizi ni tabia za KiTanzania, maneno mengi, kwenye uwanja wa mapambano uone mtu.Halafu cha kushangaza huo umati wote wanamuangalia tu, hakuna anayemsaidia tena. Alijua sijui wenzake wataingilia