Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Huyo jamaa ni mpuuzi, we angalia hapo hiyo video yote katika hao wote wamemchomoa yeye tu. Huwezi kupigwa bila sababuView attachment 1612680
Wamechomoa mwenye sare za chama tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa ni mpuuzi, we angalia hapo hiyo video yote katika hao wote wamemchomoa yeye tu. Huwezi kupigwa bila sababuView attachment 1612680
Hao wanajeshi wa JWTZ wanatafuta Nini huko Visiwani????
Sijui kama upo serious. Hapo huoni kuna aliyevaa sare na kashika bendera kubwa tu ya ACT??Wamechomoa mwenye sare za chama tu!
Kutukana askari ndio apigwe? Kwanini wasimpeleke kituoni halafu baadae mahakamani?Mtoa post ni muongo, huyo jamaa kawatukana askari matusi kama yote, na walikuwa kwenye msafara wakamvuta pembeni.
Kazi maalumu ya kulinda wizi wa kura na kuwadhibiti wananchi, waambieni hao polisi wanachokitafuta watakipataWameenda kwa kazi maalumu!
Kwanza tokea lini jeshi la kulinda mipaka ya nchi likabadilika kuwa wasimamizi wa uchaguzi! Halafu sisi wananchi tunanyamazia mambo ya mental case kama hayo kama mazuzu vileBado pia sioni kama askari wana mamlaka ya kuchukua sheria mkononi, wangemfungulia mashtaka kwa kosa hili kwa kulingana na vifungu vya sheria
Hakuna sheria inayosema wampige hata kama amewatukana.Huyo jamaa ni mpuuzi, we angalia hapo hiyo video yote katika hao wote wamemchomoa yeye tu. Huwezi kupigwa bila sababuView attachment 1612680
Kula Kichapooo hahahaa Yaani Hawa wahuni Ndio Dawa yaoVideo ikiwaonyesha askari wakimshushia kipigo mwananchi kwa madai ya kuwarushia maneno
View attachment 1612678
Wamesahau kazi yao ya msingi, wako busy na kazi zisizowahusuKwanza tokea lini jeshi la kulinda mipaka ya nchi likabadilika kuwa wasimamizi wa uchaguzi!Halafu sisi wananchi tunanyamazia mambo ya mental case kama hayo kama mazuzu vile
Sio ustarabu, kupiga wananchi kama mbwa.Kula Kichapooo hahahaa Yaani Hawa wahuni Ndio Dawa yao
We mwacheee Huku wanakimbiaa hahahaha Badooo hiyo no trailer Move linakujHuyo jamaa ni mpuuzi, we angalia hapo hiyo video yote katika hao wote wamemchomoa yeye tu. Huwezi kupigwa bila sababuView attachment 1612680
Swali la kipumbavuHao wanajeshi wa JWTZ wanatafuta Nini huko Visiwani????
Kunywa Pepsi baridi mkeBado pia sioni kama askari wana mamlaka ya kuchukua sheria mkononi, wangemfungulia mashtaka kwa kosa hili kwa kulingana na vifungu vya sheria
Anaye uliza swali ni huyu ninaye mfahamu ama mwengine ama kuna mtu amemwandikia,nilitaraji angetoa hisia zake za sikuzote.Kutukana askari ndio apigwe? Kwanini wasimpeleke kituoni halafu baadae mahakamani?
Na raia anapokosea mahakimu ni Wanajeshi?Kwanini askari tangia mwanzo wa kampeni mpaka mwisho hawajawai pigamtu kwa kuvaa sare za ACT mpaka waanze leo?
Au kunakosa alilofanya huyo mkulungwa wa ACT?
Kama wanajua sana kupiga wakapige yale magaidi kule Kitaya-MtwaraWamesahau kazi yao ya msingi, wako busy na kazi zisizowahusu
We una matatizo sana. Kwa hiyo mtu kutaka sheria ifuate mkondo ni kosa?Anaye uliza swali ni huyu ninaye mfahamu ama mwengine ama kuna mtu amemwandikia,nilitaraji angetoa hisia zake za sikuzote.