Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

Kwanini ngome za Wapinzani ndio wanamwaga Mapolisi na Majeshi kwa kisingizio cha Uhalifu???

 
..hawakutakiwa kumpiga.

..kwanza, hakuwa-resist wakati wanamchomoa.

..pili, haonekani kuwa na silaha yoyote ile.

..tatu, amekaa chini sasa kwanini apigwe huku amekaa chini?
Unalizungumziaje swala la raia kurushia mawe askari
 
Siungi mkono huyo kupigwa, ila nilikuwa namuweka sawa mtoa post kuwa sababu sio kuvaa shati la ACT bali sababu ni alitukana. Na ndio maana unaona kwenye huo umati wote wamemchomoa yeye tu, huku wenzake wakibakia kuangalia tu
Angalia video yote hapa uone kisa kilipoanzia
View attachment 1612688
Hadi haki ipatikane.
 
Ni ujinga na upumbafu kuwatukana wanajeshi wanaokulinda, waliwalinda wazazi wako wakati wanakutafuta kutoka kwenye maungo yao.

Hao jeshi wanasimamia sheria tuliyojitungia(kwa kutumia vyombo vyetu kadiri ya katiba), kwa nini uwatukane sasa. Hao jeshi wanatembea na silaha za moto.

Maalim na TAL msiwadanganye watoto wetu, tunaumia sisi wazazi na ndugu. Lissu watoto wake amewaacha Ulaya, Maalim sijui wa kwake wako wapi.
Wanajeshi wanaruhusiwa kugawa adhabu? Yaani kisheria tusi moja ni kipigo cha kiwango gani?
 
Wazanzibari shikilieni hapohapo hao mabedhuli ya CCM yaondoke madarakani
 
Back
Top Bottom