Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

Tunamuomba mkuu wa majeshi atoe ufafanuzi.

Jeshi letu maarufu km jeshi la wananchi je ameona yanayoendelea visiwani?

Je, kuna kikosi kipya?

Clip ya zanZibar imenihuzunisha sn
 
"HAKI huchukuliwa HAKI huwa haiombwi" Sheikh Ponda
Jiandae kuchukua haki baada ya Tar 28.

FB_IMG_1603734520479.jpg
 
Haki haiombwi kama mapenzi hupiganiwa

Ni ujinga na upumbafu kuwatukana wanajeshi wanaokulinda, waliwalinda wazazi wako wakati wanakutafuta kutoka kwenye maungo yao...
 
Back
Top Bottom