kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Haya Tuendelee
Kama magunia
CCM wanatesa watu sanaKama magunia
Trafic wanaangalia tuCCM wanatesa watu sana
Sijaua wako wapi wanafanya kwa kushitukiza. Wameshajua mapema wameshindwa.Leo chadem wako wapi?
Ajipange 2025!
Chauma ya H.Lungwe na Ubwabwa, ubweche...tena wakufungulia kama maji! NEC wametukosesha uondo!
Pichai kama hizi ndio zinaonyesha kiasi cha ujinga watu walio nao kichwani karne hii!