kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hapa ni habari picha mahsusi kuhusiana na uchaguzi mkuu unaoendelea nchini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya Tuendelee
Kama magunia
CCM wanatesa watu sanaKama magunia
Trafic wanaangalia tuCCM wanatesa watu sana
Sijaua wako wapi wanafanya kwa kushitukiza. Wameshajua mapema wameshindwa.Leo chadem wako wapi?
Ajipange 2025!![]()
Chauma ya H.Lungwe na Ubwabwa, ubweche...tena wakufungulia kama maji! NEC wametukosesha uondo!
Pichai kama hizi ndio zinaonyesha kiasi cha ujinga watu walio nao kichwani karne hii!